-
Al Burhan: Jeshi la Sudan litaacha siasa baada ya uchaguzi wa 2023
Dec 05, 2021 02:49Mkuu wa jeshi la Sudan, Abdel Fattah Al-Burhan, amesema kwamba jeshi litaondoka kwenye uwanja wa siasa baada ya uchaguzi uliopangwa kufanyika 2023, na kuongeza kuwa kuna "ishara nzuri" zinazohusiana na uungaji mkono mpya wa jamii ya kimataifa kwa Khartoum.
-
Ripoti: Mateka wa kike wa Palestina wanakabiliwa na hali mbaya katika jela za Israel
Jul 31, 2021 03:46Kamati ya Masuala ya Mateka wa Palestina imetangaza kuwa mahabusu na mateka wa kike wa Palestina wanaoshikiliwa katika jela za Israel wanaendelea kusumbuliwa na ukatili na hali ngumu kupita kiasi.
-
Mfungwa wa tatu wa kisiasa afia jela akiteswa nchini Misri
Mar 23, 2020 09:28Jumuiya za kutetea haki za binadamu nchini Misri zimatangaza kuwa, mfungwa mwingine wa kisiasa amefia jela akiwa chini ya mateso ya maafisa usalama wa nchi hiyo.
-
Mahakama ya Saudia yamhukumu kifo mfungwa wa kisiasa wa Qatif
Jul 29, 2019 22:28Mahakama ya utawala wa Saudi Arabia imemhukumu kifo mfungwa wa kisiasa mkazi wa jimbo la Waislamu wa madhehebu ya Shia la al Sharqiyyah katika mji wa Qatif.
-
Mgomo wa chakula wa masheikh wanaozuiliwa katika jela za Saudi Arabia
Feb 24, 2019 06:57Sambamba na Sheikh Abdullah Hamid Ali al-Hamid, kiongozi wa kidini na mwanaharakati wa sheria nchini Saudi Arabia kususia kula chakula katika moja ya jela za nchi hiyo, wafungwa wengine wanaozuliwa katika korokoro za utawala wa Aal-Saud nao pia walianzisha mgomo huo.
-
Wafungwa zaidi ya elfu tano wa makosa ya kiusalama wako jela Saudia
Jan 12, 2019 23:29Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudi Arabia imetangaza kuwa tangu Disemba 13 mwaka jana hadi sasa watu 65 wametiwa mbaroni kwa makosa la kile ilichokitaja kuwa ni makosa ya kuhujumu usalama.
-
Wabunge wa Uingereza wataka kuonana na wafungwa wanawake wanaoshikiliwa kwenye jela za Saudia
Jan 02, 2019 11:42Kundi la mawakili wa kimataifa na wabunge wa Uingereza limetaka lipatiwe fursa ya kuonana na wafungwa wanawake wanaoshikiliwa kwenye jela za Saudi Arabia.
-
Wafungwa wa kisiasa wanakabiliwa na hali mbaya katika jela za Misri
Sep 13, 2018 09:15Hali ya wafungwa wa kisiasa nchini Misri miaka mitano baada ya mapinduzi ya kijeshi nchini humo inaripotiwa kuwa mbaya sana.
-
Kushikilia Bahrain rekodi ya wafungwa wa kisiasa ulimwenguni
Jul 03, 2018 23:19Jalal Firouz, mbunge wa zamani wa Bahrain na mmoja wa wanaharakati wa masuala ya haki za binadamu wa nchi hiyo amesema, kwa sasa Bahrain ndio inayoshika nafasi ya kwanza ulimwenguni kwa kuwa na wafungwa wengi wa kisiasa.
-
Wafungwa wa kisiasa 2500 wagoma kula huko Misri
Oct 03, 2016 10:29Wafungwa 2500 wa kisiasa nchini Misri wamegoma kula chakula na dawa wakilalamikia hali mbaya katika jela walipofungwa.