-
Rais Rouhani awasilisha pendekezo la kutatua mgogoro wa Syria
Nov 22, 2017 13:04Rais Hassan Rouhani anayeshiriki kikao cha marais wa Russia, Uturuki na Iran katika mji wa Suchi amewasilisha pendekezo lenye vifungu vikuu vitatu kwa ajili ya kutatua mgogoro wa Syria.
-
Marekani yakiri magaidi wanatumia silaha za kemikali Syria
Oct 20, 2017 22:58Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani kwa mara ya kwanza imekiri kwamba, magaidi wanatumia silaha za kemikali huko Syria.
-
Sheikh Naeem Qassim: Kuwepo matakfiri katika Mashariki ya Kati ni mpango wa Kizayuni
Sep 28, 2017 04:27Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwepo matakfiri katika eneo la Mashariki ya Kati ni mpango wa kisiasa unaokamilisha mpango wa Wazayuni.
-
Ujerumani: Tulitamani kumpindua Bashar al Assad lakini tumeshindwa vibaya
Sep 26, 2017 04:45Balozi wa Ujerumani mjini Washington, Marekani sambamba na kukiri kwamba nchi za Magharibi zinawasaidia magaidi kufanya jinai nchini Syria, amesema kwamba, tulikuwa na hamu kubwa ya kuipindua serikali ya Bashar al Assad lakini tumeshindhwa vibaya sana.
-
Rais al-Assad: Mataifa ya Kiarabu yanaliunga mkono taifa la Syria
Sep 24, 2017 00:02Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, akthari ya mataifa ya Kiarabu yanaliunga mkono taifa la Syria, lakini tawala za Warabu zinawaunga mkono magaidi wanaopigana dhidi ya serikali ya Damascus.
-
Kikao cha Waziri wa Ulinzi wa Russia na Rais Bashar al-Assad wa Syria
Sep 13, 2017 23:23Jumanne iliyopita Sergey Shoygu, Waziri wa Ulinzi wa Russia alikutana na kufanya mazungumzo na Rais Bashar al-Assad wa Syria.
-
Jeshi la Syria lavunja mzingiro wa miaka 3 wa Dayr al-Zawr
Sep 04, 2017 03:18Kundi la kwanza la jeshi la Syria na wapiganaji wa Hizbullah limeingia katika mji wa Dayr al-Zawr uliokuwa ukizingirwa na wapiganaji wa kundi la kigaidi la Daesh kwa kipindi cha miaka 3.
-
Sisitizo la Umoja wa Mataifa juu ya udharura wa kuzuia kupelekwa magaidi nchini Syria
Jul 15, 2017 08:02Stephen de Mistura Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria amesisitiza katika mkutano na waandishi wa habari kuwa upelekeaji wa magaidi huko Syria unapasa kukomeshwa.
-
Al-Assad: Wasyria wamewashinda magaidi kwa umoja na mshikamano
Jul 04, 2017 23:36Rais Bashara al-Assad wa Syria amesema kuwa, Wasyria wameweza kuyashinda makundi ya kigaidi yanayowakufurisha Waislamu kwa umoja na mshikamano wao.
-
Kwa mara nyingine ndege za Marekani zaua raia 42 Deir ez-Zor, Syria
Jun 27, 2017 10:47Kwa mara nyingine tena ndege za muungano vamizi unaodai kupambana na kundi la Daesh chini ya uongozi wa Marekani, zimefanya jinai nyingine kubwa ya kuua raia 42 katika mkoa wa Deir ez-Zor nchini Syria.