Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mgogoro wa Syria

  • Sisitizo la Rais Putin la  kuweko juhudi za pamoja za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria

    Sisitizo la Rais Putin la kuweko juhudi za pamoja za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria

    Apr 10, 2019 06:39

    Mgogoro wa Syria na vita vya ndani vya kutwishwa nchi hiyo vilivyoanza 2011, ulipelekea Syria kugeuka na kuwa medani ya makabiliano baina ya Wamagharibi na waitifaki wao wa Kiarabu pamoja na Uturuki hapo awali dhidi ya mhimili wa muqawama ukijumuisha na Russia.

  • Jeshi la Syria laangamiza maficho ya magaidi wa Jabhat al Nusra mkoani Hama

    Jeshi la Syria laangamiza maficho ya magaidi wa Jabhat al Nusra mkoani Hama

    Mar 19, 2019 15:03

    Wanajeshi wa Syria wameshambulia na kuangamiza maficho ya magaidi wa Jabhat al Nusra katika viunga vya mkoa wa Hama wa magharibi mwa nchi hiyo.

  • Madai ya Muungano wa Kimarekani ya eti kupambana na ugaidi, urongo mkubwa wa karne

    Madai ya Muungano wa Kimarekani ya eti kupambana na ugaidi, urongo mkubwa wa karne

    Mar 19, 2019 03:06

    Serikali ya Syria imeutuhumu muungano eti wa kimataifa wa kupambana na Daesh unaoongozwa na Marekani kuwa umefanya jinai za kivita.

  • Raia 10 wa Syria wauawa katika mashambulizi ya ndege za muungano vamizi

    Raia 10 wa Syria wauawa katika mashambulizi ya ndege za muungano vamizi

    Mar 17, 2019 16:55

    Duru za habari za Syria zimetangaza kuwa raia kumi wa nchi hiyo wamuawa katika mashambulizi yaliyofanywa na ndege za muungano vamizi unaoongozwa na Marekani huko mashariki mwa Syria.

  • Rais Bashar al-Assad: Vikwazo vya kiuchumi vya Marekani ni njia mpya ya vita dhidi ya Syria

    Rais Bashar al-Assad: Vikwazo vya kiuchumi vya Marekani ni njia mpya ya vita dhidi ya Syria

    Mar 11, 2019 08:16

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, vita dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu vimechukua mkondo mpya ambapo sasa vimeelekezwa katika mzingiro na vita vya kiuchumi.

  • Bouthaina Shaaban: Chanzo cha ugaidi katika eneo ni utawala wa Kizayuni

    Bouthaina Shaaban: Chanzo cha ugaidi katika eneo ni utawala wa Kizayuni

    Mar 10, 2019 14:12

    Mshauri wa Masuala ya Kisiasa na Habari wa Rais wa Syria amesema kuwa chanzo cha ugaidi huko Syria, Yemen, Iraq na Libya ni utawala wa Kizayuni.

  • Silaha za Marekani na magaidi wa Israel zapatikana Syria

    Silaha za Marekani na magaidi wa Israel zapatikana Syria

    Feb 19, 2019 08:00

    Askari usalama wa Syria wamenasa idadi kubwa ya silaha za Marekani na Israel zinazomilikiwa na magaidi huko Rif-Dimashq.

  • Arab League: Uingiliaji wa kigeni sababu kuu ya kuendelea mgogoro nchini Syria

    Arab League: Uingiliaji wa kigeni sababu kuu ya kuendelea mgogoro nchini Syria

    Jan 29, 2019 07:27

    Mahmoud Afifi, Msemaji wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Arab League amesema katika mazungumzo yake na Geir Pedersen, mjumbe mpya wa Umoja wa Mataifa katika kadhia ya Syria kwamba uingiliaji wa kigeni ndiyo sababu ya kuendelea mgogoro nchini humo.

  • Israel yakiri kuwapa msaada wa silaha wapinzani wa serikali ya Syria

    Israel yakiri kuwapa msaada wa silaha wapinzani wa serikali ya Syria

    Jan 16, 2019 04:28

    Mkuu wa Majeshi ya Utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa utawala huo umekuwa ikiwapa silaha wapinzani wa serikali ya Syria.

  • Magaidi watwangana wenyewe kwa wenyewe Syria, mamia wauawa

    Magaidi watwangana wenyewe kwa wenyewe Syria, mamia wauawa

    Jan 05, 2019 07:46

    Mamia ya magaidi wameangamizwa baada ya kuibuka mzozo miongoni mwa makamanda wa magenge hasimu ya kigaidi nchini Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS