Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Misri yavunja rekodi Afrika, zaidi ya wagonjwa 700 wa corona wapatikana siku moja

    Misri yavunja rekodi Afrika, zaidi ya wagonjwa 700 wa corona wapatikana siku moja

    Jul 18, 2020 03:35

    Wizara ya Afya ya Misri imetangaza kuwa, zaidi ya wagonjwa 700 wa COVID-19 wamegunduliwa nchini humo katika kipindi cha siku moja.

  • Erdoğan: Tutaiunga mkono Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya kukabiliana na Misri

    Erdoğan: Tutaiunga mkono Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya kukabiliana na Misri

    Jul 18, 2020 03:29

    Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema kuwa nchi yake itaiunga mkono Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya kukabiliana na Misri na kamwe haitowaacha mkono wananchi wa Libya.

  • Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yalaani vitisho vya al Sisi vya kuivamia nchi hiyo

    Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yalaani vitisho vya al Sisi vya kuivamia nchi hiyo

    Jul 17, 2020 22:01

    Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya (GNA) imelaani vikali matamshi yaliyotolewa na Rais Abdel Fattah al Sisi wa Misri aliyetishia kuvamia ardhi ya Libya.

  • Misri yaionya Uturuki, yasema operesheni dhidi ya mji wa Sirte huko Libya ni hatua hatari sana

    Misri yaionya Uturuki, yasema operesheni dhidi ya mji wa Sirte huko Libya ni hatua hatari sana

    Jul 14, 2020 06:22

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Misfri amekosoa vikali matamshi yaliyotolewa na mwenzake wa Uturuki kwamba Ankara inajitayarisha kushiriki katika operesheni ya kijeshi katika mji wa Sirte huko Libya na kusema matamshi hayo kuwa ni hatari kubwa.

  • Mgogoro wa bwawa la al Nahdha ungali unazitesa Misri, Sudan na Ethiopia

    Mgogoro wa bwawa la al Nahdha ungali unazitesa Misri, Sudan na Ethiopia

    Jul 13, 2020 03:03

    Wizara ya Umwagiliaji Maji ya Misri imetangaza habari ya kuendelea mgogoro baina ya nchi hiyo na Sudan na Ethiopia katika siku ya kumi ya mazungumzo ya nchi hizo tatu kuhusu bwawa la al Nahdha.

  • Misri yataka nchi za dunia ziache kupeleka magaidi maeneo ya machafuko

    Misri yataka nchi za dunia ziache kupeleka magaidi maeneo ya machafuko

    Jul 13, 2020 02:44

    Mwakilishi wa kudumu wa Misri katika Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa viongozi wa baadhi ya nchi waache kupeleka magaidi katika maeneo ya machafuko hasa wakati huu wa kuenea maambukizi ya kirusi cha corona.

  • Mahakama Misri yathibitisha hukumu ya kifungo cha maisha jela alichohukumiwa kiongozi wa Ikhwanul Muslimin

    Mahakama Misri yathibitisha hukumu ya kifungo cha maisha jela alichohukumiwa kiongozi wa Ikhwanul Muslimin

    Jul 09, 2020 21:56

    Mahakama Kuu ya Misri imethibitisha hukumu ya kifungo cha maisha jela aliyopewa kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul Muslimin Muhammad Badie pamoja na wenzake watano.

  • Wasiwasi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu kuongezeka uingiliaji wa kigeni nchini Libya

    Wasiwasi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu kuongezeka uingiliaji wa kigeni nchini Libya

    Jul 09, 2020 21:54

    Vita vya wenyewe kwa wenyewe huko Libya vimechukua sura mpya na tata na hasa kufuatia uamuzi wa wapiganaji wanaojiita Jeshi la Kitaifa la Libya linaloongozwa na jenerali muasi Khalifa Haftar wa kuanzisha hujuma ya kuuteka mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli, mnamo mwezi Aprili 2019 na uingiliaji wa nchi za kigeni kwa ajili ya kuziunga mkono pande hasimu katika mgogoro huo.

  • Misri yawasiliana na mtoto wa Gaddafi ili kujinufaisha kiuchumi nchini Libya

    Misri yawasiliana na mtoto wa Gaddafi ili kujinufaisha kiuchumi nchini Libya

    Jul 04, 2020 07:20

    Baadhi ya duru za Misri zimesema kuwa, mashirika ya kijasusi ya nchi hiyo yamewasiliana na mwana wa kiongozi wa zamani wa Libya, Kanali Muammar Gaddafi kwa ajili ya kumshinikiza kisiasa na kujinufaisha na fursa za kiuchumi nchini humo.

  • Uturuki: Ufaransa imefumbia macho jinai zinazofanywa na UAE, Misri nchini Libya

    Uturuki: Ufaransa imefumbia macho jinai zinazofanywa na UAE, Misri nchini Libya

    Jul 01, 2020 21:45

    Balozi wa Uturuki mjini Paris ameituhumu Ufaransa kuwa inaegemea upande mmoja na kwamba imefumbia macho jinai zinazofanywa na Umoja wa Falme za Kiarabu na Misri nchini Libya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS