Mar 12, 2019 16:16
Afisa mmoja wa serikali ya Misri amesema kuwa, kiwango cha utumiaji wa dawa za kulevya na mihadarati kimeongezeka na kufikia asilimia 10.4 nchini humo na kwamba umri wa watumiaji wa dawa hizo pia umepungua kiasi kwamba hata watoto wa miaka 9 wanatumia madawa hayo.