-
Iran yazitaka nchi za Waislamu kuunganisha nguvu zao kukabiliana na Israel
Jun 07, 2024 06:20Katika mazungumzo ya simu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri, Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitizia ulazima wa kuunganishwa nguvu za nchi za Waislamu katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni.
-
Katibu Mkuu wa UN atuma rambirambi kufuatia kufa shahidi Ebrahim Raisi na wenzake
May 21, 2024 12:26Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametuma salamu za rambirambi kwa familia za shahidi Rais Sayyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wenzake aliokuwa amefuatana nao na kutoa mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Iran.
-
Misri: Gaza imefikia katika ukingo wa njaa
May 21, 2024 12:02Mwakilishi wa Misri katika Umoja wa Matiafa amesema kuwa hali ya mambo katika Ukanda wa Gaza imefikia katika ukingo wa njaa.
-
Misri yaungana na Afrika Kusini katika mashtaka dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel
May 13, 2024 06:24Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Misri imetangaza kuungana na mashtaka ya Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel unaofanya mauaji katika Ukanda wa Gaza.
-
Misri: Jamii ya kimataifa imeshindwa kuzuia mashambulizi ya Israel katika mji wa Rafah
May 08, 2024 11:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amesema kuwa jamii ya kimataifa imeshindwa kuzuia mashambulizi ya utawala wa Kizayuni katika mji wa Rafah kusini mwa Ukanda wa Gaza. Sameh Shukry ameeleza haya katika mazungumzo na Mjumbe Maalumu wa Ufaransa katika Masuala ya Lebanon.
-
Ujumbe wa Hamas umeondoka Cairo kwa ajili ya mashauriano zaidi
Apr 30, 2024 11:12Ujumbe wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) umeondoka Cairo, mji mkuu wa Misri ili kufanya mashauriano zaidi kuhusu pendekezo jipya lililotolewa kwa ajili ya kubadilishana mateka.
-
Ufaransa, Misri na Jordan zapinga shambulio la Rafah na kuunga mkono usitishaji vita Gaza
Apr 01, 2024 02:17Mkutano wa pande tatu wa mawaziri wa mambo ya nje wa Misri, Jordan na Ufaransa ulifanyika Jumamosi Cairo, mji mkuu wa Misri, kuhusiana na matukio ya hivi karibuni katika vita vya Gaza na mashauriano ya kusitisha mapigano hayo.
-
Misri: Operesheni ya kijeshi ya Israel huko Rafah itakuwa na matokeo mabaya
Mar 19, 2024 02:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amesema Marekani inapasa kuileza wazi Israel kuhusu taathira hasi na matokeo mabaya ya utawala wa Kizayuni kuushambulia kijeshi mji wa Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Jumatatu tarehe 18 Machi 2024
Mar 18, 2024 02:32Leo ni Jumatatu tarehe 7 Ramadhani 1445 Hijria inayosadifiana na tarehe 18 Machi 2024.
-
Mahakama ya Misri yamhukumu kifo kiongozi wa Ikhwanul Muslimin na wenzake 7
Mar 05, 2024 07:40Mahakama ya Misri imemhukumu kifo kiongozi wa chama cha Ikwanul Muslimin (Muslim Brotherhood), Mohamed Badie, na viongozi wengine saba wa harakati hiyo baada ya kuwatia hatiani kwa eti kupanga vitendo vya ukatili kwa "madhumuni ya kigaidi" wakati wa mgomo wa Cairo mwaka 2013.