-
Mashabiki wa mpira wapiga nara za "Palestina Palestina" kwenye uwanja wa mpira Morocco
Apr 28, 2022 02:45Nara ya "Palestina! Palestina!" imerindima katika uwanja wa mpira wa miguu kutoka kwa mashabiki wa mchezo huo nchini Morocco, nchi ambayo imetangaza uhusiano wa kawaida na Wazayuni kinyume na msimamo wa wananchi wa nchi hiyo.
-
Morocco yaendeleza siasa za kindumilakuwili kuhusu wananchi wa Palestina
Apr 23, 2022 02:49Baada ya serikali ya kifalme ya Morocco kufanya usaliti dhidi ya kadhia ya Palestina ambayo ndiyo muhimu zaidi kwa Umma wa Kiislamu, na baada ya Rabbat kutangaza uhusiano wa kawaida na utawala pandikizi wa Kizayuni, hivi sasa nchi hiyo inajifanya kuguswa na jinai za Israel.
-
Wamorocco, Wabahrain, Waturuki waandamana kuitetea Aqsa, Syria, Kuwait zatoa kauli
Apr 17, 2022 08:17Wananchi wa Morocco wamefanya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Rabat kutangaza uungaji mkono wao kwa wananchi wa Palestina, sanjari na kulaani kitendo cha utawala haramu wa Israel cha kuuvamia na kuuvunjia heshima Msikiti wa al-Aqsa.
-
Wamorocco waandamana kuwaunga mkono Wapalestina
Mar 31, 2022 10:30Wananchi wa Morocco wamefanya maandamano mbele ya Bunge la nchi hiyo huko Rabat na katika miji mingine kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Ardhi na kuonyesha mshikamano wao kwa wananchi wa Palestina.
-
Mbunge: Ubeberu na uzayuni zinataka kuigawa Morocco katika maeneo matano madogo
Mar 07, 2022 08:05Mwakilishi wa Bunge la Morocco amesema kuwa, ubeberu na uzayuni zinafanya njama za kuigawa nchi hiyo katika maeneo matano madogo.
-
Algiers: Morocco na Israel zinafanya fitina nchini Algeria
Feb 17, 2022 08:03Rais wa Algeria amesema kuwa Israel na Morocco zinafanya njama ya kuibua hitilafu kati ya Ofisi ya Rais na Jeshi la Algeria na kuzusha fitna nchini humo.
-
Tahadhari iliyotolewa na Algeria kuhusu njama za utawala wa Kizayuni wa Israel za kulidhibiti bara la Afrika
Dec 07, 2021 04:56Kwa muda mrefu sasa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umetumia sera na mbinu tofauti ili kujipenyeza na kuwa na satua katika nchi za Afrika, muhimu zaidi ikiwa ni ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na nchi za Kiarabu; sera ambayo imeweza kutekelezwa kivitendo katika kipindi cha miezi kadhaa iliyopita kwa msaada na uungaji mkono wa Marekani.
-
PLO yalaani makubaliano ya kijeshi ya Morocco na utawala wa Kizayuni wa Israel
Nov 27, 2021 08:00Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) imelaani vikali makubaliano ya kijeshi yaliyofikiwa baina ya Morocco na utawala wa Kizayuni wa Israel na kueleza kuwa, mabaliano hayo ni zawadi kwa wavamizi.
-
Wanasheria Morocco wapinga chanjo ya lazima ya Covid-19
Oct 24, 2021 15:13Muungano wa Mawakili nchini Morocco umepinga hatua ya serikali ya kuwalazimisha wananchi kupiga chanjo ya kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19.
-
Umoja wa Ulaya wafuta makubaliano yake ya biashara na Morocco
Sep 30, 2021 06:26Mahakama Kuu ya Umoja wa Ulaya imefuta makubaliano ya biashara baina ya nchi za umoja huo na Morocco kutokana na mgogoro wa Polisario.