Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Morocco

  • Algeria yaizuia Morocco kupita katika anga yake; uhusiano wazidi kuharibika

    Algeria yaizuia Morocco kupita katika anga yake; uhusiano wazidi kuharibika

    Sep 23, 2021 08:06

    Serikali ya Algeria imetangaza kuwa, imeifungia Morocco anga yake hatua ambayo inazidi kuchochea mvutano ulioshadidi hivi karibuni baina ya majirani hao wawili kufuatia hatua ya Algiers ya kuvunja uhusiano wake wa kidiplomasia na Rabat.

  • Matukio ya kisiasa ya Morocco; Mohammed VI ateua waziri mkuu mpya

    Matukio ya kisiasa ya Morocco; Mohammed VI ateua waziri mkuu mpya

    Sep 12, 2021 03:07

    Baada ya kushindwa vibaya chama tawala cha Uadilifu na Ustawi (PJD) katika uchaguzi wa wiki iliyopta nchini Morocco, Mfalme Mohammed VI wa nchi hiyo amemteua Aziz Akhannouch wa chama cha National Rally of Independents (NRI) kuwa waziri mkuu mpya wa nchi hiyo. Akhannouch amepewa jukumu la kuunda serikali mpya ya Rabat.

  • Chama tawala Morocco chapigwa mweleka mkali, chaambulia viti 12 vya Bunge

    Chama tawala Morocco chapigwa mweleka mkali, chaambulia viti 12 vya Bunge

    Sep 09, 2021 11:46

    Chama kilichotawala kwa muda mrefu nchini Morocco kimepata pigo kubwa katika uchaguzi wa Bunge, kulingana na matokeo ya muda yaliyotangazwa na Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afriika.

  • Algeria: Hatua za Morocco zimevuruga uhusiano wa pande mbili

    Algeria: Hatua za Morocco zimevuruga uhusiano wa pande mbili

    Sep 03, 2021 06:57

    Jeshi la Algeria limetangaza kuwa, hatua iliyochukuliwa hivi karibuni na serikali ya Algiers ya kukata uhusiano wake wa kidiplomasia na Rabat ilikuwa uamuzi wa kiutawala na matokeo ya uchokozi wa Morocco.

  • Algeria: Makundi yenye uhusiano na Morocco na Israel ndiyo yaliyohusika na moto wa misituni

    Algeria: Makundi yenye uhusiano na Morocco na Israel ndiyo yaliyohusika na moto wa misituni

    Aug 20, 2021 00:05

    Algeria imeuhusisha moto mbaya uliotokea hivi karibuni nchini humo na makundi mawili ambavyo nmayatambua kuwa ni magenge ya "kigaidi", na kusema kuwa moja ya kati ya makundi hayo liungwa mkono na Morocco na Israeli.

  • Rais wa Algeria: Tunatazama upya uhusiano wetu na Morocco

    Rais wa Algeria: Tunatazama upya uhusiano wetu na Morocco

    Aug 19, 2021 08:00

    Rais Abdelmajid Tebboune wa Algeria amesema kuwa, nchi hiyo inatazama upya uhusiano wake na nchi ya Morocco. Rais wa Algeria amesema kuwa, nchi hiyo imefikia uamuzi huo baada ya hatua za hivi karibuni za Morocco ambazo ni za chuki na hasama dhidi ya nchi yetu.

  • Jihad Islami ya Palestina yasikitishwa na safari ya waziri wa Israel Morocco

    Jihad Islami ya Palestina yasikitishwa na safari ya waziri wa Israel Morocco

    Aug 12, 2021 03:21

    Msemaji wa Harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amelaani vikali safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala haramu wa Israel nchini Morocco na kubainisha kuwa, ziara hiyo haikubaliki.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel kuitembelea Morocco

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel kuitembelea Morocco

    Aug 07, 2021 01:06

    Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala haramu wa Israel anatazamiwa kufanya safari ya kuitembelea Morocco wiki ijayo.

  • Wamorocco wapinga safari za watalii wa Israel nchini kwao

    Wamorocco wapinga safari za watalii wa Israel nchini kwao

    Jul 31, 2021 07:37

    Maelfu ya wananchi wa Morocco wameanzisha kampeni kubwa ya kupinga safari za wataali wa Israel katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • Wananchi wa Morocco wakataa majengo yao yageuzwe ubalozi wa Israel

    Wananchi wa Morocco wakataa majengo yao yageuzwe ubalozi wa Israel

    Jun 14, 2021 02:29

    Wamiliki wa majengo na majumba katika mji mkuu wa Morocco, Rabat wamekataa kata kata kukodisha majengo yao kwa ajili ya kutumika kama ofisi za uwakilishi za utawala wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS