-
Jordan yalaani Wazayuni kuuvamia tena Msikiti wa al-Aqsa
Oct 04, 2023 03:08Serikali ya Jordan imekosoa vikali hatua ya wanajeshi wa utawala haramu wa Israel kuwashambulia waumini wa Kipalestina, huku mamia ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo mikali wakiingia kwa mabavu katika eneo la Msikiti wa al-Aqsa huko Quds (Jerusalem) Mashariki inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
-
Wazayuni wauvamia tena Msikiti wa Al Aqsa kwa siku ya nne mfululizo
Oct 03, 2023 07:53Kundi kubwa la walowezi wa Kizayuni leo wameuvamia tena kwa siku ya nne mtawalia Msikiti wa Al-Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu huku wakilindwa na kusindikizwa na askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Nasrullah: Lazima Wazayuni waisikie sauti ya Umma wa Kiislamu kuhusiana na kibla cha kwanza cha Waislamu
Oct 03, 2023 06:40Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, Umma wa Kiislamu unapaswa utekeleze wajibu wake kwa watu wa Palestina na Msikiti wa Al-Aqsa, na akasisitiza kuwa: Wazayuni lazima waisikie sauti ya Umma wa Kiislamu kuhusiana na Kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
OIC yalaani ongezeko la hujuma dhidi ya Msikiti wa al-Aqsa
Sep 20, 2023 02:22Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani vikali vitendo vya hujuma za walowezi wa Kizayuni dhidi ya msikiti wa al-Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti wa al-Aqswa
Sep 19, 2023 02:31Sambamba na maadhimisho ya sikukuu za Kiyahudi, makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wameuvamia msikiti mtakatifu wa al-Aqswa na kufanya vitendo vya kichochezi.
-
Msikiti wa al-Aqswa waendelea kuvamiwa na walowezi wa Kizayuni
Sep 13, 2023 11:12Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia msikiti wa al-Aqswa huko Palestina na kuuvunjia heshima.
-
Msikiti wa al-Aqswa ni mstari mwekundu wa taifa la Palestina
Sep 11, 2023 14:01Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS huko Quds iinayokaliwa kwa mabavu ameashiria vitendo vya Wazayuni vya kulivunjia heshima eneo hilo takatifu na kusisitiza kwamba, msikiti wa al-Aqswa utaendelea kuwa mstari mwekundu wa taifa la Palestina.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena kibla cha kwanza cha Waislamu
Sep 11, 2023 06:58Makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima.
-
Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima
Aug 31, 2023 02:29Katika hatua zao zisizokoma, makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia tena msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima.
-
Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima
Aug 29, 2023 02:46Makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima.