Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

muqawama

  • Khazali: Wanamuqawama wa Iraq watajibu uchokozi mpya wa Uturuki

    Khazali: Wanamuqawama wa Iraq watajibu uchokozi mpya wa Uturuki

    Feb 03, 2022 02:30

    Katibu Mkuu wa harakati ya Asa'ib Ahl al-Haq ambalo ni tawi la muungano wa makundi ya muqawama wa Hashd al-Sha’abi nchini Iraq amesisitiza kuwa, mrengo wa mapambano ya Kiislamu utatoa jibu mwafaka kwa uvamizi na chokochoko mpya za jeshi la Uturuki dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Shahidi Qassem Soleimani na kuimarisha na kuinua nafasi ya muqawama Asia Magharibi

    Shahidi Qassem Soleimani na kuimarisha na kuinua nafasi ya muqawama Asia Magharibi

    Jan 03, 2022 02:32

    Moja ya maudhui muhimu kuhusiana na Luteni Jenerali Qassem Soleimani aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) ni mchango wake katika kuimarisha na kuinua nafasi ya muqawama na mapambano katika eneo la Asia Magharibi.

  • Mkuu wa Umoja wa Maulamaa wa Muqawama: Saudia ni ajenti wa ubalozi wa Marekani Beirut

    Mkuu wa Umoja wa Maulamaa wa Muqawama: Saudia ni ajenti wa ubalozi wa Marekani Beirut

    Dec 08, 2021 02:34

    Mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Maulamaa wa Muqawama amesema: nafasi haribifu ya Saudi Arabia nchini Lebanon imekuwa kubwa zaidi kuliko harakati chafu za ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa nchi hiyo Beirut.

  • "Iran ni nguzo ya ulimwengu wa Kiislamu, kambi ya muqawama"

    Dec 03, 2021 04:24

    Mkuu wa Utamaduni wa Harakati ya Kujitolea ya Wananchi wa Iraq maarufu kama Hashd al Sha'abi amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndio nguzo ya ulimwengu wa Kiislamu na mrengo wa muqawama na mapambano ya Kiislamu.

  • Safari za kidiplomasia nchini Syria; kushindwa siasa za kuitenga

    Safari za kidiplomasia nchini Syria; kushindwa siasa za kuitenga

    Nov 20, 2021 04:45

    Kufanyika safari za kidiplomasia nchini Syria ni dalili ya wazi kwamba siasa za wapinzani za kujaribu kuitenga serikali ya Damascus zimegonga mwamba.

  • Makundi ya muqawama yaonya kuhusu kuendelea hujuma dhidi ya maeneo matakatifu Palestina

    Makundi ya muqawama yaonya kuhusu kuendelea hujuma dhidi ya maeneo matakatifu Palestina

    Oct 27, 2021 08:09

    Makundi ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina yameuonya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kuhusiana na kuendelea uvamizi na hujuma dhidi ya maeneo matakatifu ya Kiiislamu huko Palestina hususan makaburi ya al-Yusufiya huko Quds inayokaliwa kwa mabavu.

  • Wanamapambano Palestina walaani kuvunjiwa heshima Msikiti wa al Aqsa

    Wanamapambano Palestina walaani kuvunjiwa heshima Msikiti wa al Aqsa

    Oct 08, 2021 16:52

    Makundi ya mapambano ya ukombozi wa Palestina yametangaza kuwa, kuwaruhusu Wayahudi kufanya ibada katika viwanja vya Msikiti wa al Aqsa ni hatua hatari sana inayovunjia heshima matukufu ya Kiislamu.

  • Jeshi la Israel lapatwa kiwewe likihofia kisasi cha wanamapambano wa Palestina

    Jeshi la Israel lapatwa kiwewe likihofia kisasi cha wanamapambano wa Palestina

    Sep 27, 2021 04:33

    Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limejiweka katika hali ya tahadhari likihofiia kisasi kutoka kwa wanamuqawama wa Palestina na kuvurumishwa makombora kuelekea katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Ismail Hania: Hii leo muqawama ni ngao ya taifa la Palestina

    Ismail Hania: Hii leo muqawama ni ngao ya taifa la Palestina

    Sep 26, 2021 08:04

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, hii leo mapambano na muqawama ni upanga na ngao ya wananchi wa Palestina na kwamba, taifa la Palestina limeazimia na kukusanya nguvu zake kwa ajili ya ukombozi wa ardhi yake.

  • Makundi ya mapambano ya Palestina yaitahadharisha Israel

    Makundi ya mapambano ya Palestina yaitahadharisha Israel

    Sep 08, 2021 03:15

    Makundi ya mapambano ya ukombozi wa Palestina yametahadharisha kwamba, hali ya Ukanda wa Gaza inakaribia kuripuka na yameupa utawala wa Israel siku 15 kuruhusu bidhaa muhimu kwa ajili ya raia wa Palestina katika eneo hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS