-
Mbunge wa Bunge la Ulaya: Tofauti na US, Iran iliisaidia Iraq kupambana na ISIS
Apr 21, 2021 07:29Mbunge wa kujitegemea wa Bunge la Ulaya (MEP) amesema kuibuka kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) nchini Iraq ni matokeo ya Marekani kuivamia nchi hiyo ya Kiarabu mwaka 2003; na kwamba kinyume na Marekani, Iran iliinyooshea Baghdad mkono wa msaada na uungaji mkono katika vita dhidi ya genge hilo la kitakfiri.
-
Jeshi la Msumbiji laua magaidi 36 katika mji wa Palma
Apr 10, 2021 12:32Msemaji wa jeshi la Msumbiji amesema askari wa nchi hiyo wamewaangamizi makumi ya wanamgambo katika operesheni ya usalama katika mji wa pwani wa Palma, kaskazini mwa nchi.
-
Shamkhani: Iran haitaruhusu kuhuishwa ugaidi wa kitakfiri katika eneo
Feb 27, 2021 12:28Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu na mataifa mengine yanayopambana na ugaidi katu hayataruhusu kuhuishwa magenge ya kigaidi na kitakfiri katika eneo la Asia Magharibi.
-
Marekani, Saudia na Israel zinachochea hujuma za kigaidi Iraq
Jan 25, 2021 07:50Harakati ya Kata'ib Hizbullah ya Iraq imesema hujuma za kigaidi ambazo zimetekelezwa na kundi la kigaidi la ISIS nchini humo zinachochewa na muungano wa Marekani, Saudi Arabia na Israel.
-
ISIS yadai kuhusika na kutekwa kambi ya jeshi Nigeria
Jan 17, 2021 08:00Maafisa usalama na mamia ya wakazi wa mji mmoja katika jimbo la Borno la kaskazini mwa Nigeria wamelazimika kuyakimbia makazi yao baada ya genge la magaidi waliojizatiti kwa silaha kushambulia na kudhibiti kambi ya jeshi katika eneo hilo.
-
Marekani yawaingiza magaidi katika kituo chake cha kijeshi Syria
Jan 06, 2021 08:09Jeshi la Marekani limewaingiza makumi ya magaidi wa ISIS au Daesh katika kituo chake cha kijeshi cha Al Tanf ambacho kiko Syria kinyume cha sheria.
-
Marekani inaunda 'ISIS 2' katika nchi za Syria na Iraq
Dec 28, 2020 00:20Ushahidi mpya umefichua kuwa, vyombo vya usalama vya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel vipo mbioni kuzalisha kizazi kipya cha genge la kigaidi katika eneo hili la Asia Magharibi.
-
UN: Magaidi 10,000 wa ISIS bado wako katika nchi za Iraq na Syria
Aug 26, 2020 03:00Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa kuna magaidi zaidi ya 10,000 wa kundi la Daesh yaani ISIS ambao bado wanaendeleza harakati zao za kigaidi katika nchi za Iraq na Syria ikiwa imepita miaka miwili tokea kundi hilo lisambaratishwe katika nchi hizo.
-
Magaidi sita wa ISIS watiwa mbaroni magharibi mwa Iraq
Jul 04, 2020 08:05Mkuu wa Idara ya Intelijensia na Kupambana na Ugaidi katika mkoa wa Anbar magharbii mwa Iraq ametangaza habari ya kutiwa mbaroni wanachama sita wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).
-
Matamshi ya Rais wa Marekani kuhusu kufaidika Taliban na uwepo wa askari wa Marekani nchini humo
May 20, 2020 06:52Rais wa Marekani amesema uwepo wa askari wa nchi yake huko Afghanistan ni kwa faida ya Taliban na hivyo kundi hilo halitaki askari wa Marekani waondoke.