-
NATO, sababu kuu ya mgogoro wa ndani nchini Libya
Aug 13, 2018 22:21Kamanda wa Jeshi la Taifa la Libya Khalifa Haftar amesema kuwa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) ndiyo sababu ya hali mbaya inayoshuhudiwa sasa nchini humo.
-
Mashambulizi ya NATO Libya, yamewaletea raia wa nchi hiyo aina kadhaa za saratani
Jul 14, 2018 23:18Nouri al-Daruqi, Mtafiti wa nchini Libya amesema kuwa aina kadhaa za ugonjwa wa saratani zimeibuka baada ya Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) kuishambulia kijeshi nchi hiyo mwaka 2011.
-
Qassemi: Hakuna msingi wa kuwa na wasiwsi kuhusu makombora ya Iran
Jul 12, 2018 23:41Msemaji wa Wizara ya Nje ya Iran amejibu taarifa iliyotolewa katika kikao cha viongozi wa jumuiya ya kijeshi ya NATO na kusema, hakuna msingi wowote wa kuwa na wasiwasi kuhusu mpango wa makombora ya kujihami ya Iran.
-
Trump aibua mifarakano katika muungano wa kijeshi wa NATO
Jul 12, 2018 05:03Siku ya kwanza ya kikao cha viongozi wa muungano wa kijeshi wa nchi za Magharibi, NATO, imemalizika huku mkutano huo ukishuhudia mashambulizi makali ya maneno ambayo hayajawahi kushuhudiwa ya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Ujerumani, moja kati ya nchi muhimu zaidi katika muungano huo wa NATO.
-
Wakuu wa Nato wakariri madai dhidi ya Iran katika kikao chao mjini Brussels
Jul 12, 2018 02:59Viongozi wa nchi wanachama wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (Nato) wamekariri madai ya Marekani dhidi ya Iran kuhusu miradi ya kiulinzi ya nchi hii. Madai hayo yametolewa kufuatia taarifa iliyotolewa katika siku ya kwanza ya kikao chao hicho mjini Brussels jana.
-
NATO: Hatutaipa himaya Israel iwapo itashambuliwa na Iran
Jun 03, 2018 02:54Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) umesema hautaupa himaya utawala haramu wa Israel iwapo utashambuliwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Silaha za magaidi zilizoundwa katika nchi wanachama wa Nato zanaswa Syria
May 21, 2018 09:52Vyombo vya habari vya Russia vimeripoti kuwa shehena ya silaha za magaidi zimenaswa katika mkoa wa Homs nchini Syria; silaha ambazo imebainika kuwa ziliundwa katika nchi wanachama wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (Nato).
-
Msimamo wa kiuhasama wa Waziri mpya wa Mambo ya Nje wa Marekani dhidi ya Russia
Apr 29, 2018 22:09Ijumaa iliyopita Mike Pompeo, Waziri mpya wa Mambo ya Nje wa Marekani akizungumza kando ya mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi zinazounda Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) mjini Brussels Ubelgiji, alitaka 'kuwepo mabadiliko ya wazi katika hatua za Russia na vilevile kuitaka ifuate sheria za kimataifa'.
-
Kutengwa Marekani katika Muungano wa (NATO) juu ya kadhia ya JCPOA
Apr 28, 2018 03:24Katibu Mkuu wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO), Jens Stoltenberg ametoa matamshi yanayokinzana na mtazamo wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusiana na makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na nchi sita kubwa za dunia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.
-
NATO: Hatuko katika mashindano ya silaha mpya na Russia
Apr 05, 2018 03:37Katibu Mkuu wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) amesema kuwa muungano huo hauko katika mashindano ya silaha mpya na Russia.