Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

NATO

  • Jumamosi, Machi 24, 2018

    Jumamosi, Machi 24, 2018

    Mar 23, 2018 23:28

    Leo ni Jumamosi tarehe 6 Rajab mwaka 1439 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 24 Machi 2018 Miladia.

  • Nato: Hatutaki vita vipya baridi na Russia

    Nato: Hatutaki vita vipya baridi na Russia

    Mar 17, 2018 00:19

    Jens Stoltenberg Katibu Mkuu wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (Nato) alisema jana kuwa muungano huo hautaki kurudi katika uhasama wa vita baridi kati yake na Russia huku akibainisha uungaji mkono wake kwa msimamo mkali uliodhihirishwa na Uingereza kufuatia madai kwamba Moscow imempatia sumu jasusi wa zamani wa nchi hiyo huko Uingreza.

  • Jumamosi, Machi 17, 2018

    Jumamosi, Machi 17, 2018

    Mar 17, 2018 00:18

    Leo ni Jumamosi tarehe 28 Mfunguo Tisa Jamadi Thani 1439 Hijria sawa na tarehe 17 Machi 2018 Miladia.

  • Rais wa Uturuki aiomba NATO ipeleke majeshi yake eneo la Afrin nchini Syria

    Rais wa Uturuki aiomba NATO ipeleke majeshi yake eneo la Afrin nchini Syria

    Mar 11, 2018 03:47

    Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amelitaka shirika la kijeshi la nchi za Magharibi NATO lipeleke majeshi yake katika eneo la Afrin kaskazini mwa Syria.

  • Khaled al-Khuwailidi: NATO imetenda jina za kivita dhidi ya raia nchini Libya

    Khaled al-Khuwailidi: NATO imetenda jina za kivita dhidi ya raia nchini Libya

    Jan 20, 2018 12:20

    Wakili mmoja mashuhuri nchini Libya amefichua kwamba, Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) umetenda jinai dhidi ya raia katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • Waziri wa Ujerumani: Uhusiano wa Ulaya na Marekani hautorudi tena katika zama za kabla ya Trump

    Waziri wa Ujerumani: Uhusiano wa Ulaya na Marekani hautorudi tena katika zama za kabla ya Trump

    Dec 05, 2017 12:28

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema, katika zama za urais wa Donald Trump nafasi ya nguvu za kisiasa za Marekani duniani si kama ilivyokuwa huko nyuma.

  • Katibu Mkuu wa Nato atahadharisha kuhusu vita na Korea ya Kaskazini

    Katibu Mkuu wa Nato atahadharisha kuhusu vita na Korea ya Kaskazini

    Oct 31, 2017 03:44

    Katibu Mkuu wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) amezitahadharisha nchi zote husika kuhusu kupigana vita na Korea ya Kaskazini.

  • NATO yaunga mkono stratejia mpya ya Marekani kuhusu Afghanistan

    NATO yaunga mkono stratejia mpya ya Marekani kuhusu Afghanistan

    Aug 22, 2017 23:12

    Muungano wa Kijeshi wa NATO umeunga mkono uamuzi wa Rais wa Marekani wa kuongeza wanajeshi wengine nchini Afghanistan katika kalibu ya stratejia mpya ya Washington.

  • Russia: Marekani na NATO zinaruhusu magendo ya dawa za kulevya Afghanistan

    Russia: Marekani na NATO zinaruhusu magendo ya dawa za kulevya Afghanistan

    Aug 20, 2017 02:20

    Serikali ya Russia imetangaza kuwa, hatua ya Marekani na jumuiya ya kijeshi ya nchi za Magharibi NATO ya kutopambana na dawa za kulevya nchini Afghanistan licha ya kushadidi uzalishaji na magendo ya dawa hizo, inatia shaka na kustaajabisha.

  • Jumanne, 04 Aprili, 2017

    Jumanne, 04 Aprili, 2017

    Apr 04, 2017 04:39

    Leo ni Jumanne tarehe 6 Rajab 1438 Hijria sawa na Aprili 4, 2017.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS