-
Kikao cha Brussels cha mawaziri wa mambo ya nje wa NATO
Apr 02, 2017 00:17Kikao cha mawaziri wa mambo ya nje wa nchi wanachama wa shirika la kujihami la kijeshi la NATO kilifanyika siku ya Ijumaa iliyopita katika makao makuu ya shirika hilo mjini Brussels, Ubelgiji.
-
NATO yakiri, usalama wa Ulaya uko mashakamani
Mar 24, 2017 21:54Kamanda wa majeshi ya NATO barani Ulaya, Jenerali Curtis Scaparrotti amekiri kuwa bara hilo sasa limekuwa miongoni mwa maeneo hatari zaidi duniani.
-
Ayatullah Makarim: NATO ya Kiarabu ni njama ya Marekani na Uzayuni ya kuangamiza Ulimwengu wa Kiislamu
Mar 02, 2017 11:02Ayatullah Naser Makarim Shirazi, Marjaa Taqlidi aliyeko katika mji wa Qum kusini mwa mji mkuu Tehran amesema NATO ya Kiarabu ni njama ya Kimarekani na Kizayuni yenye lengo la kuuangamiza Ulimwengu wa Kiislamu na kusisitiza kuwa viongozi wa Kiarabu wanaiona hatima ya Syria, Yemen na kaskazini mwa Iraq lakini wangali wamo kwenye usingizi wa mghafala.
-
Libya yaiomba Nato msaada wa kijeshi
Feb 16, 2017 12:14Serikali ya Libya inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa imeuomba Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) usaidie kuimarisha majeshi yake.
-
Ulaya: Trump weka wazi siasa zako za masuala ya kigeni
Jan 20, 2017 03:15Waziri wa Ulinzi wa Ujerumini, Ursula Gertrud von der Leyen amemtaka Donald Trump, rais mteule wa Marekani aweke wazi siasa zake za mambo ya kigeni hasa baada ya kujitokeza matamshi ya kugongana baina ya viongozi wa serikali ijayo ya Marekani kuhusu Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi, NATO.
-
Serikali ya Russia yaafikiana na Trump kuhusu NATO
Jan 16, 2017 23:33Ikulu ya Russia (Kremlin) imetangaza kuwa serikali ya nchi hiyo inaafiki mtazamo wa Rais Mteule wa Marekani Donald Trump kwamba Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) umepitwa na wakati.
-
Vikosi vya jeshi la Marekani vyakiri kuua raia 33 wa Afghanistan
Jan 12, 2017 11:58Vikosi vya jeshi la Marekani vilivyoko chini ya mwavuli wa shirika la kijeshi la NATO vimekiri kuwa viliua raia 33 wa Afghanistan wakiwemo watoto wadogo katika shambulio la mwezi Novemba jana lililofanywa kwa kisingizio cha kupambana na wanamgambo wa kundi la Taliban.
-
Russia yaikosoa vikali Nato kwa kuanzisha mgogoro
Jul 13, 2016 02:52Maria Zakharova Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia jana Jumanne aliwasilisha taarifa na kueleza kuwa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (Nato) una nafasi kubwa katika kuzua migogoro na kuendeleza hali ya mivutano katika maeneo mbalimbali duniani.
-
NATO yaanza mazoezi ya kijeshi baharini karibu na Russia
Jul 11, 2016 23:15Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) umeanza mazoezi ya kijeshi karibu kabisa na Russia.
-
Radiamali ya Iran kwa matamshi ya Nato kuhusu mpango wake wa makombora
Jul 11, 2016 03:16Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameitaja taarifa ya mwisho ya kikao cha wakuu wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (Nato) kuhusu mpango wa makombora wa Iran kuwa ni madai ya kukaririwa na yasiyo na msingi.