Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

NATO

  • Russia yalaani NATO kujipania kuelekea Mashariki

    Russia yalaani NATO kujipania kuelekea Mashariki

    Jul 10, 2016 10:07

    Russia imelaani vikali hatua ya muungano wa kijeshi wa NATO kujipanua na kuelekeza nguvu zake Moscow wakati ambapo hakuna tishio lolote kutoka mashariki.

  • Tetesi za kuingia kwa mara nyingine NATO nchini Libya

    Tetesi za kuingia kwa mara nyingine NATO nchini Libya

    May 26, 2016 02:27

    Sambamba na kuongezeka matatizo ya kiusalama Libya, kuna taarifa kuwa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO linapanga kuingilia tena kijeshi katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • Ombi la NATO la kustawisha ushirikiano na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na (P)GCC

    Ombi la NATO la kustawisha ushirikiano na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na (P)GCC

    Apr 10, 2016 02:40

    Naibu Katibu Mkuu wa Shirika la Kijeshi la NATO, Alexander Vershbow ametaka kustawishwa ushrikiano kati ya shirika hilo la kijeshi na Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (P)GCC pamoja na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu.

  • Nato na Russia huenda zikaanzisha mazungumzo baada ya miaka miwili

    Nato na Russia huenda zikaanzisha mazungumzo baada ya miaka miwili

    Apr 08, 2016 09:36

    Russia imesema kuwa huenda ikafanya mazungumzo na Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi Nato katika wiki chache zijazo.

  • NATO kupanua operesheni za kukabiliana na wakimbizi

    NATO kupanua operesheni za kukabiliana na wakimbizi

    Mar 07, 2016 12:46

    Katibu Mkuu wa shirika la kijeshi la NATO, Jens Stoltenberg amesema kuwa jumuiya hiyo itapanua zaidi operesheni zake katika maji ya karibu na nchi za Ugiriki na Uturuki ili kuzuia wimbi la wahamiaji haramu kuelekea katika nchi za Magharibi.

  • Wanachama wa NATO kutoingilia vita vya Uturuki,Russia

    Wanachama wa NATO kutoingilia vita vya Uturuki,Russia

    Feb 20, 2016 23:19

    Baadhi ya nchi wanachama wa Shirika la Kijeshi la NATO zimetahadharisha kuhusu kushtadi kwa mivutano baina ya Uturuki na Russia na kusisitiza kuwa hazitoingilia endapo vitazuka vita baina ya nchi hizo mbili.

  • NATO yatafakari kuingia vitani Syria, Iraq

    NATO yatafakari kuingia vitani Syria, Iraq

    Feb 12, 2016 12:10

    Shirika la Kijeshi la NATO linatafakari kuingia katika vita vinavyoendelea katika nchi za Syria na Iraq.

  • Rusia: Nato inachochea machafuko Mashariki ya Kati

    Rusia: Nato inachochea machafuko Mashariki ya Kati

    Feb 08, 2016 03:44

    Wizara ya Ulinzi ya Russia imejibu tuhuma za shika la kijeshi la nchi za Magharibi (NATO) ikisema muungano huo wa kijeshi imeitumbukiza Syria katika matatizo makubwa na kusababisha machafuko katika eneo lote la Mashariki ya Kati.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS