-
Russia yatahadharisha juu ya uwezekano wa kupigana na Nato
Apr 17, 2022 21:59Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetahadharisha juu ya uwezekano wa kujiri mapigano ya muda mrefu baina ya nchi hiyo na Shirika Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) katika katika eneo la Ncha ya Kaskazini.
-
Russia yaonya itaweka silaha za nyuklia Baltic iwapo Sweden na Finland zitajiunga na NATO
Apr 16, 2022 21:50Dmitry Medvedev, Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Russia ameonya kuwa, iwapo Finland na Sweden zitajiunga na muungano wa kijeshi wa NATO, basi Russia itazitambua nchi hizo mbili kuwa maadui.
-
Jumatatu tarehe 4 Aprili 2022
Apr 03, 2022 22:13Leo ni Jumatatu tarehe Pili Ramadhani 1443 Hijria sawa na Aprtiili 4 mwaka 2022.
-
Ukraine iko tayari kubadili Katiba na kutupilia mbali kujiunga na NATO
Mar 31, 2022 03:28Waziri Mkuu wa Slovenia ametangaza utayarifu wa Ukraine wa kubadilisha Katiba ya nchi hiyo na kuachana na nia yake ya kujiunga na NATO.
-
China: NATO inaiingiza dunia katika Vita Baridi
Mar 26, 2022 22:01China imelionya Shirika la Jeshi la Nchi za Magharibi NATO dhidi ya kuitumbukiza dunia katika kipindi kipya cha Vita Baridi kupitia sera zake za usalama zilizopitwa na wakati.
-
Kikao cha wakuu wa NATO na kung'ang'ania msimamo wa kiuadui dhidi ya Russia
Mar 25, 2022 21:52Kikao cha dharura cha wakuu wa Jeshi la Nchi za Magharibi NATO kilifanyika juzi Alkhamisi mjini Brussels, Ubelgiji ambayo ndio makao makuu ya Umoja wa Ulaya. Katika siku za hivi karibuni, Brussels imekuwa mwenyeji wa vikao vitatu ambavyo ni cha wakuu wa NATO, cha G7 na cha Umoja wa Ulaya.
-
China: Marekani na NATO ziombe radhi kwa kuzivamia na kuzishambulia kijeshi nchi mbalimbali
Mar 25, 2022 09:53Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameitaka Marekani na shirika la kijeshi la NATO ziombe radhi kwa kuzivamia na kuzishambulia kijeshi nchi mbalimbali duniani.
-
Askari 4 wa US waangamia katika luteka ya NATO nchini Norway
Mar 19, 2022 23:15Askari wanne wa Marekani wameaga dunia baada yao ya ndege ya kivita kuanguka na kuwaka moto wakati wa maneva ya kijeshi ya nchi wanachama wa shirika la kijeshi la nchi za Magharibi NATO nchini Norway.
-
Marekani na NATO wahusika wakuu wa mzozo wa Ukraine
Mar 18, 2022 12:00Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema Marekani na NATO ndio wasababishaji wakuu wa mgogoro wa Ukraine na ndio wenye ufunguo wa kumaliza mgogoro huo.
-
Ramaphosa: NATO ndiyo ya kulaumiwa kwa vita vya Russia nchini Ukraine
Mar 18, 2022 11:31Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, ameilaumu NATO kwa vita vya Ukraine na kusema kuwa atapinga wito wa kuilaani Russia. Matamshi haya ya Ramaphosa yanatia shaka iwapo atakubaliwa na Ukraine au nchi za Magharibi kama mpatanishi katika mzozo huo.