Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

NATO

  • China: Ufunguo wa mgogoro wa Ukraine uko mikononi mwa NATO na Marekani

    China: Ufunguo wa mgogoro wa Ukraine uko mikononi mwa NATO na Marekani

    Mar 18, 2022 03:55

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema ufunguo wa mgogoro wa Ukraine uko mikononi mwa NATO na Marekani ambao ndio wasababishaji wake wakuu.

  • Alkhamisi tarehe 17 Machi 2022

    Alkhamisi tarehe 17 Machi 2022

    Mar 16, 2022 22:52

    Leo ni Alkhamisi tarehe 14 Shaaban 1443 Hijria sawa na tarehe 17 Machi 2022.

  • Kukiri EU kosa lake la kuiahidi Ukraine kujiunga na NATO

    Kukiri EU kosa lake la kuiahidi Ukraine kujiunga na NATO

    Mar 13, 2022 23:23

    Josep Borrell Fontelles, Mkuu wa Sera za Kigeni za Umoja wa Ulaya amekiri kuwa kitendo cha umoja huo cha kuipa ahadi Ukraine ya kuiunga na Jeshi la Nchi za Magharibi NATO, lilikuwa kosa.

  • Rais wa Ukraine azishambulia tena nchi za Magharibi, asema hazina hata uwezo wa kulinda wananchi wao

    Rais wa Ukraine azishambulia tena nchi za Magharibi, asema hazina hata uwezo wa kulinda wananchi wao

    Mar 05, 2022 04:05

    Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine amehamakishwa mno na uamuzi wa Jeshi la Nchi za Magharibi NATO kukataa ombi lake la kutangaza eneo lililo marufuku kupaa ndege na kuziambia nchi wanachama wa NATO kwamba, hivi nyinyi hata mna uwezo wa kulinda usalama wa nchi zenu?

  • Zakharova: Oparesheni za Kijeshi za Russia nchini Ukraine si uvamizi

    Zakharova: Oparesheni za Kijeshi za Russia nchini Ukraine si uvamizi

    Feb 27, 2022 04:27

    Maria Zakharova Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, muungano wa kijeshi wa NATO haupaswi kuzitaja oparesheni za kijeshi za Russia nchini Ukraine kuwa ni uvamizi.

  • Mazungumzo ya simu ya Marais wa Iran na Russia

    Mazungumzo ya simu ya Marais wa Iran na Russia

    Feb 27, 2022 00:22

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Sayyid Ebrahim Raisi, na Rais wa Russia, Vladimir Putin, walifanya mazungumza ya simu Alhamisi iliyopita kuhusu masuala ya kimataifa na mazungumzo yanayoendelea huko Vienna kuhusu suala la kuondolewa vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Iran.

  • Mkutano usio na matunda wa Russia-NATO na kuongezeka kwa mizozo ya pande mbili

    Mkutano usio na matunda wa Russia-NATO na kuongezeka kwa mizozo ya pande mbili

    Jan 14, 2022 21:14

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Alexander Grushko, ameuambia mkutano wa waandishi wa habari mjini Brussels mwishoni mwa mkutano wa Russia na NATO siku ya Jumatano kwamba, hitilafu za pande mbili zilikuwa wazi na kwamba katika kikao hicho kumejitokeza hitilafu nyingi.

  • Lavrov: Haiyumkiniki Russia kujiunga na shirika la kijeshi la NATO

    Lavrov: Haiyumkiniki Russia kujiunga na shirika la kijeshi la NATO

    Dec 27, 2021 23:12

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema haiyumkiniki nchi hiyo kujiunga na shirika la kijeshi la NATO.

  • Onyo la Rais wa Russia la kutoa jibu kijeshi kwa hatua za Marekani barani Ulaya

    Onyo la Rais wa Russia la kutoa jibu kijeshi kwa hatua za Marekani barani Ulaya

    Dec 22, 2021 23:20

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, nchi yake ina haki kamili ya kujihami dhidi ya hatua zisizo za kirafiki za Marekani na akabainisha kwamba Moscow itachukua hatua mwafaka za kijeshi na kiufundi juu ya suala hilo.

  • Kuongezeka kwa mzozo kati ya Russia na Magharibi juu ya Ukraine na upanuzi wa NATO kuelekea Mashariki

    Kuongezeka kwa mzozo kati ya Russia na Magharibi juu ya Ukraine na upanuzi wa NATO kuelekea Mashariki

    Dec 04, 2021 11:06

    Katika wiki za hivi karibuni, makabiliano kati ya Russia na Magharibi kuhusu Ukraine yamechukua sura mpya, huku pande mbili zikitoa maonyo ya mara kwa mara kuhusu hatua zozote za kijeshi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS