Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

nchi ya Nigeria

  • Makamanda wawili wa Boko Haram watiwa mbaroni Nigeria

    Makamanda wawili wa Boko Haram watiwa mbaroni Nigeria

    Mar 25, 2016 03:45

    Polisi ya Nigeria imewatia mbaroni makamanda wawili wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika jimbo la Taraba, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.

  • Harakati ya Kiislamu ya Nigeria yajiondoa katika uchunguzi wa mauaji ya halaiki ya Zaria

    Harakati ya Kiislamu ya Nigeria yajiondoa katika uchunguzi wa mauaji ya halaiki ya Zaria

    Mar 23, 2016 15:00

    Taasisi inayoiwakilishi Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imeamua kutohudhuria mahakamani katika kesi ya kuchunguza mauaji ya halaiki yaliyofanywa na jeshi la Nigeria katika mji wa Zaria mwezi Disemba mwaka jana.

  • Ban Ki-moon alaani mashambulizi ya Boko Haram misikitini Nigeria

    Ban Ki-moon alaani mashambulizi ya Boko Haram misikitini Nigeria

    Mar 18, 2016 03:06

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amelaani vikali mashambulizi ya kigaidi dhidi ya misikiti mmoja yanayofanywa na na genge la kitakfiri la Boko Haram nchini Nigeria.

  • Iran yalaani shambulio la kigaidi nchini Nigeria

    Iran yalaani shambulio la kigaidi nchini Nigeria

    Mar 17, 2016 13:39

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililofanywa katika msikiti mmoja huko Nigeria.

  • Wanaigeria waandamana wakitaka kuachiwa huru Sheikh Zakzaky

    Wanaigeria waandamana wakitaka kuachiwa huru Sheikh Zakzaky

    Mar 04, 2016 14:40

    Wananchi wa Nigeria wameandamana katika miji mbalimbali ya nchi hiyo wakitaka kuachiwa huru haraka kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo (IMN) Sheikh Ibrahim Zakzaky.

  • Serikali ya Nigeria yawapiga kalamu nyekundu wafanyakazi 20 elfu kufidia nakisi ya bajeti

    Serikali ya Nigeria yawapiga kalamu nyekundu wafanyakazi 20 elfu kufidia nakisi ya bajeti

    Feb 29, 2016 15:24

    Serikali ya Nigeria imeamua kuwatimua wafanyakazi wake elfu 20 kwa lengo la kufidia nakisi ya bajeti nchini humo.

  • Buhari: Kuendelea kushuka bei ya mafuta duniani, hakukubaliki

    Buhari: Kuendelea kushuka bei ya mafuta duniani, hakukubaliki

    Feb 29, 2016 15:23

    Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria, amesema kuwa kuendelea kushuka kwa bei ya mafuta katika soko la dunia, ni jambo lisilokubalika.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS