Pars Today
Milio mikubwa ya risasi imesikika mapema leo karibu na ofisi ya rais wa Niger katika mji mkuu wa nchi hiyo Niamey, siku mbili kabla ya kuapishwa rais mpya Mohamed Bazoum.
Serikali ya Niger imetangaza kuwa, raia waliouawa katika hujuma za kinyama zilizofanywa na washambuliaji waliobeba silaha katika vijiji kadhaa vya eneo la Tahoua kusini magharibi mwa nchi hiyo hawapungui 137.
Mahakama ya Katiba ya Niger imeidhinisha ushindi wa matokeo ya uchaguzi wa rais yaliyompa ushindi mgombea wa chama tawala cha PNDS, Mohamed Bazoum.
Wananchi wa Jamhuri ya Congo Brazaville wanaelekea katika masanduku ya kupigia kura leo Jumapili kushiriki uchaguzi wa rais ambao umesusiwa na chama kikuu cha upinzani nchini humo.
Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani mashambulio yaliyofanywa hivi karibuni na wabeba silaha nchini Niger, ambayo yamepelekea makumi ya watu kupoteza maisha na wengine wengi kujeruhiwa.
Rais anayeondoka wa Niger, Mahamadou Issoufou ndiye mshindi wa tuzo ya kifahari ya Mo Ibrahim.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza kusikitishwa kwake na mashambulio mawili ya megenge ya wabeba silaha huko nchini Niger, yaliyopelekea watu wasiopungua 100 kuuawa.
Makumi ya watu wameuawa katika mashambulio mawili yanayosadikika kutekelezwa na makundi ya kigaidi huko nchini Niger.
Magaidi wa kundi la Boko Haram wamekishambulia kijiji kimoja kusini mashariki mwa Niger na kuua na kujeruhi watu kadhaa.
Kikao cha 47 cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu (OIC) kimeanza huko Niamey mji mkuu wa Niger.