Jan 14, 2020 12:00
Rais Issoufou Mahamadou wa Niger amempiga kalamu nyekundu Mkuu wa Majeshi ya nchi hiyo, Luteni Jenerali Ahmed Mohamed kufuatia mashambulio ya magenge ya kigaidi na waasi yaliyoua askari 174 wa nchi hiyo tokea mwezi Disemba mwaka uliomalizika wa 2019 hadi sasa.