-
Maelfu ya Wanigeria waandamana kupinga mashambulizi ya ECOWAS dhidi ya Niger
Aug 13, 2023 08:21Maelfu ya watu nchini Nigeria wamefanya maandamano wakipinga uwezekano wa mashambulizi ya kijeshi ya Jumuiya ya Kiuchumi ya Kanda ya Afrika Magharibi, (ECOWAS) nchini Niger.
-
Nigeria yatakiwa irejesha umeme Niger na ipunguze vikwazo
Aug 13, 2023 02:35Wakili mwandamizi nchini Nigeria na mwanaharakati wa haki za binadamu Femi Falana ametoa wito kwa Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS) , kurejesha umeme nchini Niger na kupunguza vikwazo vilivyowekwa kwa nchi hiyo kufuatia mapinduzi ya kijeshi ya hivi karibuni.
-
Viongozi wa mapinduzi Niger waishutumu Ufaransa kwa kukiuka anga ya nchi hiyo
Aug 10, 2023 02:55Baraza la kijeshi la viongozi wa mapinduzi nchini Niger limeishutumu Ufaransa kuwa imekiuka anga iliyofungwa ya nchi hiyo.
-
Baraza la kijeshi Niger lakataa mazungumzo na AU, ECOWAS na UN
Aug 09, 2023 11:49Serikali ya mpito ya Niger inayoongozwa na wanajeshi waliofanya mapinduzi mnamo Julai 26 imepuuzilia mbali mwito wa kufanya mazungumzo uliotolewa na Umoja wa Afrika (AU), Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) na Umoja wa Matafa (UN).
-
Maseneta wa Ufaransa wakosoa sera ya Macron barani Afrika
Aug 09, 2023 11:40Maseneta karibu 100 wa Ufaransa wamekosoa vikali sera za Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo barani Afrika na kusisitiza kuwa, sera hizo zimechochea misimamo hasi dhidi ya Ufaransa katika nchi za bara hilo.
-
Times: Mapinduzi ya Niger yameonyesha kushindwa kwa sera mbovu za Ufaransa barani Afrika
Aug 08, 2023 15:15Gazeti la Times linalochapishwa nchini Uingereza limekosoa kile lilichoeleza kuwa ni sera za "kutapatapa" za Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, katika makoloni ya zamani ya Ufaransa barani Afrika.
-
Mali yaonya kuhusu 'maafa' ECOWAS ikiishambulia kijeshi Niger
Aug 08, 2023 07:41Uingiliaji wa kijeshi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) nchini Niger kwa ajili ya kumrejesha madarakani Rais Mohamed Bazoum aliyepinduliwa Julai 26 unaweza kuibua maafa na maangamivu makubwa.
-
Changamoto ya nishati na vita vya kuwania madaraka nchini Niger
Aug 07, 2023 12:59Licha ya kumalizika muda uliowekwa na ECOWAS kwa baraza la kijeshi la Niger kuhusu kukabidhi madaraka, lakini hakuna ishara zozote zinazoonesha kuwa jumuiya hiyo ya kiuchumi ya magharibi mwa Afrika iko tayari kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya wanajeshi waliofanya mapinduzi nchini humo.
-
Russia yatahadharisha kuhusu uingiliaji kijeshi huko Niger
Aug 06, 2023 10:36Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetahadharisha kuhusu hatua yoyote ya kuingia kijeshi nchini Niger.
-
Algeria: Hatuungi mkono uingiliaji wa kijeshi nchini Niger
Aug 06, 2023 07:15Algeria imepinga vikali mpango wa kuingia kijeshi nchini Niger, kwa lengo la kuhitimisha mapinduzi ya kijeshi ya mwishoni mwa mwezi uliopita, yaliyomuondoa madarakani Rais Mohamed Bazoum.