-
Vijana wenye hasira washambulia wanasiasa wawili wa Kano, Nigeria
May 12, 2016 10:56Polisi katika jimbo la Kano nchini Nigeria imetangaza kuwa vijana wenye hasira wamewashambulia wanasiasa wawili katika jimbo hilo lililoko kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Nigeria yaitaka Uingereza irudishe mali za nchi hiyo zilizoibiwa
May 11, 2016 23:37Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema ameitaka Uingereza izirudishe mali za nchi hiyo zilizoibwa na baadhi ya maafisa wa serikali na kupelekwa nchini humo.
-
Amnesty: Watoto wanaoshukiwa kuwa Boko Haram wanakufia kizuizini Nigeria
May 11, 2016 02:27Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema makumi ya watu wanaoshukiwa kuwa wanachama wa kundi la Boko Haram wakiwemo watoto wadogo wameaga dunia wakiwa kizuizini katika korokoro ya kijeshi kaskazini mashariki mwa Nigeria mwaka huu pekee.
-
Uzalishaji mafuta Nigeria washuka kutokana machafuko Niger Delta
May 10, 2016 10:32Uzalishaji mafuta ghafi ya petroli Nigeria unatarajiwa kufika kiwango cha chini zaidi katika kipindi cha miaka 22 iliyopita kutokana na hujuma za waasi katika eneo lenye utajiri wa mafuta la Niger Delta.
-
Serikali iliyoondoka madarakani ya Nigeria yatuhumiwa kuhusika na wizi wa fedha za umma
May 05, 2016 03:32Yemi Osinbajo, Makamu wa Rais wa Nigeria ameituhumu serikali iliyoondoka madarakani ya Goodluck Jonathan kuwa iliiba mabilioni ya fedha za umma.
-
Makamu wa Rais Nigeria: Serikali iliyopita ya Rais Jonathan iliiba dola bilioni 15
May 04, 2016 09:59Makamu wa Rais wa Nigeria amesema takriban dola bilioni 15 za Marekani ziliibwa katika biashara haramu za silaha chini ya serikali iliyopita ya Rais Goodluck Jonathan.
-
Jeshi la Nigeria laanzisha operesheni kabambe dhidi ya kundi la kigaidi la Boko Haram katika msitu wa Sambisa
May 02, 2016 03:24Jeshi la Nigeria limeanzisha operesheni kubwa dhidi ya wanamgambo wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika msitu wa Sambisa.
-
Nchi zinazoshiriki katika operesheni ya kijeshi dhidi ya kundi la Boko Haram zatakiwa kutekeleza ahadi zao
Apr 27, 2016 09:53Mkuu wa vikosi vya Kiafrika vya kupambana na kundi la kigaidi la Boko Haram amezitaka nchi zinazoshiriki katika operesheni ya kijeshi dhidi ya wanamgambo hao kufungamana na ahadi zao.
-
Jeshi la Nigeria lawaua wapiganaji 10 wa kundi la Boko Haram katika jimbo la Borno
Apr 25, 2016 02:33Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, limewauwa wanachama wasiopungua 10 wa kundi la kigaidi la Boko Haram mashariki mwa jimbo la Borno lililoko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Wanachama 10 wa Boko Haram wauawa Nigeria
Apr 23, 2016 03:40Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa limeua wanachama 10 wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika operesheni iliyofanyika kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.