-
Wasichana waliotekwa na Boko Haram, kisingizio cha propaganda za Marekani
Apr 22, 2016 23:49Mwakilishi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa amesisitiza udharura wa kufuatiliwa hatima ya wasichana waliotekwa nyara na kundi la Boko Haram nchini Nigeria.
-
Jeshi la Nigeria liliwazika Waislamu kwa umati wakiwa hai
Apr 22, 2016 11:00Jeshi la Nigeria liliwaua mamia ya Waislamu nchini Nigeria na kuwazika katika kaburi la umati wakiwemo baadhi waliokuwa hai mwezi Desemba mwaka jana, imefichua Amnesty International.
-
Waasi wa Nigeria watishia kuhujumu vituo vya mafuta
Apr 20, 2016 10:12Waasi wa eneo lenye utajiri wa mafuta la Niger Delta kusini mwa Nigeria wametishia kwamba watazidisha mashambulizi yao dhidi mabomba na vituo vya uzalishaji mafuta ghafi ya petroli nchini humo.
-
Waasi wa Nigeria watishia kushambulia taasisi za mafuta
Apr 19, 2016 11:51Waasi wa eneo lenye utajiri wa mafuta la Niger Delta nchini Nigeria wametishia kwamba watazidisha mashambulizi yao dhidi mabomba na taasisi za mafuta ya petroli nchini humo.
-
Miaka miwili yapita tangu Boko Haram kuteka wasichana Chibok
Apr 15, 2016 03:30Ni miaka miwili sasa tangu magaidi wakufurishaji wa Boko Haram walipowateka nyara wasichana wa shule ya serikali katika mji wa Chibok, kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Nigeria yasisitiza udharura wa kupambana na ugaidi
Apr 14, 2016 23:46Wizara ya Mambo ya Nje ya Nigeria imesisitiza udharura wa kuzidishwa ushirikiano unaohitajika kati ya nchi za eneo la magharibi mwa Afrika kwa ajili ya kupambana na kundi la Boko Haram.
-
Amnesty International yataka kufanyike uchunguzi wa mauaji ya Waislamu Nigeria
Apr 14, 2016 00:56Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu mauaji ya wanachama wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria.
-
NIgeria: Upo udharura wa kuzidishwa mawasiliano na ushirikiano ili kupambana na ugaidi
Apr 13, 2016 23:23Wizara ya Mambo ya Nje ya Nigeria imesisitiza juu ya ulazima wa kuzidishwa mawasiliano na ushirikiano unaohitajika kati ya nchi za eneo ili kupambana na kundi la Boko Haram.
-
Kaburi la Umati la Waislamu lagundiliwa nchini Nigeria
Apr 12, 2016 23:53Karibu miili 350 ya Waislamu imepatikana ikiwa imezikwa kwa siri katika kaburi la umati kaskazini mwa Nigeria.
-
Boko Haram wanatumia watoto katika hujuma za kigaidi
Apr 12, 2016 11:56Kundi la magaidi wakufurishaji wa Boko Haram nchini Nigeria wanazidi kuwatumia watoto wadogo kusheheni bomu na kujiripua katika hujuma za kigaidi.