-
Watu wenye silaha Nigeria wauwa watu wasiopungua 57
Mar 09, 2022 08:50Waombolezaji huko kaskazini magharibi mwa Nigeria jana waliwazika ndugu zao baada ya kuibuka mapigano kati ya kikundi cha walinda usalama wa jamii na watu wenye silaha wasiojulikana na kusababisha kuuliwa watu wasiopungua 57.
-
Gavana wa Borno Nigeria aonya kuhusu kundi la kigaidi la ISWAP
Feb 27, 2022 04:41Gavana wa Jimbo la Borno, Kaskazini Mashariki mwa Nigeria hivi karibuni alionya kuhusu hatari ya kuenea satwa ya kundi la kigaidi la ISIS au Daesh tawi la Afrika Magharibi (ISWAP).
-
Shambulio la anga la Nigeria laua watoto saba, lajeruhi watano nchini Niger
Feb 21, 2022 04:14Watoto saba wameuawa na wengine watano wamejeruhiwa katika shambulio la anga ambalo imeelezwa kuwa limefanywa kimakosa na jeshi la Nigeria katika eneo la Maradi kusini mwa Niger.
-
Turathi zilizoibiwa na mkoloni Muingereza zarejeshwa Nigeria baada ya karne
Feb 20, 2022 04:26Turathi mbili muhimu za kihistoria za Nigeria zilizoibiwa na Uingereza katika enzi za ukoloni hatimaye zimerejeshwa katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi, baada ya kupita zaidi ya miaka mia moja.
-
Waislamu Nigeria waandamana kulaani mauaji ya kimbari ya utawala wa Saudi Arabia nchini Yemen
Feb 19, 2022 04:13Waislamu nchini Nigeria wakiitikia wito wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo Abuja, kulaani jinai za muungano vamizi unaoongozwa na utawala wa Saudi Arabia ambao umeendelea kutenda jinai na mauaji ya kimbari nchini Yemen.
-
Watu 17 wafariki dunia katika mlipuko wa lori la mafuta nchini Nigeria
Feb 19, 2022 04:09Kwa akali watu 17 wamepoteza maisha yao katika tukio la mlipuko wa lori la mafuta katika jimbo la Ogun, kusini magharibi mwa Nigeria
-
Nigeria yasajili vifo 59 vya homa ya Lassa tokea Januari 3
Feb 17, 2022 23:38Watu wasiopungua 59 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na mripuko mpya wa homa ya Lassa katika sehemu mbalimbali za Nigeria tokea Januari 3 mwaka huu hadi sasa.
-
Sheikh Ibrahim Zakzaky: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni ya Waislamu wote ulimwenguni
Feb 07, 2022 09:21Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran hayaishii tu katika mipaka ya Iran na wananchi wa taifa hili bali ni mali ya Waislamu wote ulimwenguni.
-
Sheikh Zakzaky awataka walimwengu wakabiliane na mashambulio ya Saudia dhidi ya Yemern
Feb 06, 2022 01:12Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amewataka walimwengu kujitokeza na kukabiliana na hujuma na mashambulio ya muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya wananchi madhulumu wa Yemen.
-
Polisi ya Nigeria yadai kukomboa mateka 94 kutoka kwa magenge ya wahalifu
Feb 03, 2022 04:34Polisi ya Nigeria imetangaza kuwa watu 94 wameokolewa baada ya kuchukuliwa mateka na makundi yenye silaha katika majimbo ya Zamfara, Niger na Katsina.