Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Watu 220 wameuawa Nigeria tangu mwaka huu uanze

    Watu 220 wameuawa Nigeria tangu mwaka huu uanze

    Jan 20, 2022 00:55

    Kwa akali watu 220 wameuawa katika mashambulio ya magenge ya kigaidi na makundi ya uhalifu na ujambazi katika jimbo la Niger nchini Nigeria.

  • Majambazi waua raia 50 nchini Nigeria

    Majambazi waua raia 50 nchini Nigeria

    Jan 17, 2022 04:31

    Majambazi wameshambulia kijiji kimoja kaskazini mashariki mwa Nigeria na kuua raia 50 huku magenge ya wahalifu yakiendelea kutekeleza mauaji katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.

  • Mlipuko wa kipindupindu umeua maelfu ya watu Nigeria

    Mlipuko wa kipindupindu umeua maelfu ya watu Nigeria

    Jan 14, 2022 21:18

    Mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu uliua maelfu ya watu nchini Nigeria katika kipindi cha miezi 12 iliyopita.

  • Watu 52 wauawa katika hujuma ya majambazi Nigeria

    Watu 52 wauawa katika hujuma ya majambazi Nigeria

    Jan 14, 2022 04:40

    Majambazi waliokuwa wamejizatiti kwa silaha wametekekeleza mashambulizi katika majimbo ya Plateau na Niger nchini Nigeria na kuuawa raia wasiopungua 52.

  • Wanafunzi 30 waliotekwa nyara waachiwa huru kaskazini magharibi mwa Nigeria

    Wanafunzi 30 waliotekwa nyara waachiwa huru kaskazini magharibi mwa Nigeria

    Jan 09, 2022 23:18

    Wanafunzi waliokuwa wametekwa nyara kaskazini magharibi mwa Nigeria wameachiwa huru baada ya kushikiliwa na wanamgambo wenye silaha kwa muda wa miezi saba.

  • Wanavijiji 200 wameuawa katika mashambulizi ya Zamfara Nigeria

    Wanavijiji 200 wameuawa katika mashambulizi ya Zamfara Nigeria

    Jan 09, 2022 10:04

    Viongozi wa serikali katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria wametangaza kuwa, idadi ya watu waliofariki dunia katika mashambulizi ya magenge ya wabeba silaha katika eneo hilo imeongezeka na kufikia watu 200.

  • Sheikh Zakzaky: Kamanda Soleimani alikuwa mwanastratejia aliyezima njama za maadui Syria na Iraq

    Sheikh Zakzaky: Kamanda Soleimani alikuwa mwanastratejia aliyezima njama za maadui Syria na Iraq

    Jan 03, 2022 23:22

    Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema, njia ya Muqawama, in shaa Allah itakamilika kwa kudhihiri Imam wa Zama (Allah Aharakishe Kudhihiri Kwake).

  • Wanamgambo 100 wa ISIS wauawa katika mashambulizi ya anga kaskazini mwa Nigeria

    Wanamgambo 100 wa ISIS wauawa katika mashambulizi ya anga kaskazini mwa Nigeria

    Dec 22, 2021 10:07

    Shirika la habari la Ufaransa limenukuu vyanzo vya kijeshi na vya ndani vikisema kuwa wapiganaji 100 wa kundi la kigaidi la ISIS waliuawa wiki iliyopita katika mashambulizi ya jeshi la Nigeria dhidi ya kambi za kundi hilo kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Waislamu wa Nigeria waadhimisha kumbukumbu ya mauaji ya Zaria

    Waislamu wa Nigeria waadhimisha kumbukumbu ya mauaji ya Zaria

    Dec 13, 2021 04:49

    Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Nigeria wameadhimisha kumbukumbu ya mwaka wa sita tangu yalipotokea mauaji ya kinyama yaliyofanywa na vyombo vya usalama vya Nigeria dhidi ya Waislamu katika mji wa Zaria

  • Sheikh Zakzaky aadhimisha kumbukumbu ya mauaji ya Zaria

    Sheikh Zakzaky aadhimisha kumbukumbu ya mauaji ya Zaria

    Dec 05, 2021 11:04

    Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky amewaongoza Waislamu wa Nigeria katika maadhimisho ya mwaka wa sita wa kumbukumbu ya mauaji ya halaiki yaliyotekelezwa na jeshi la nchi hiyo katika mji wa Zaria jimboni Kaduna, dhidi ya wanachama wa harakati hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS