-
Amnesty: Jeshi la Nigeria limeua watu 115 kusini mwa nchi
Aug 06, 2021 01:24Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa, jeshi la Nigeria limeua kwa uchache watu 115 kusini mashariki mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Walioteka nyara makumi ya watoto nchini Nigeria wataka kikomboleo
Aug 04, 2021 07:36Watu wenye silaha waliowateka nyara takribani watoto 80 katika jimbo la Kaduna nchini Nigeria, wametaka walipwe fedha za kuwakombolea mateka hao.
-
Tuhuma mpya za Mwendesha Mashtaka dhidi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky
Aug 03, 2021 20:24Mwendesha Mashataka wa Jimbo la Kaduna nchini Nigeria ametoa tuhuma mpya dhidi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria ikiwa ni siku chache tu baada ya kutolewa hukumu ya kuachiliwa huru kiongozi huyo.
-
Sheikh Zakzaky akabiliwa na tuhuma mpya siku chache baada ya kuachiliwa huru
Aug 02, 2021 03:40Mahakama Kuu ya Nigeria imetoa tuhuma mpya dhidi Sheikhh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria ikiwa ni siku chache tu baada ya mahakama ya Kaduna kutoa hukumu ya kuachiliwa huru kiongozi huyo wa Kiislamu.
-
Wanajeshi 15 wa Niger wauawa katika shambulio la kigaidi huko Torodi
Aug 02, 2021 02:26Wizara ya Ulinzi ya Niger imetangaza kuwa, kwa akali wanajeshi wake 15 wameuawa kufuatia shambulio la kigaidi kusini magharibi mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Wanachama 91 wa Boko Haram wajisalimisha kwa jeshi la Nigeria
Aug 01, 2021 03:21Wanachama 91 wa kundi la kigaidi la Boko Haram wamejisalimisha kwa jeshi la Nigeria huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Shajareh: Kuachiwa huru Zakzaky ni kielelezo cha kufeli kampeni ya ukandamizaji ya serikali ya Nigeria
Jul 29, 2021 06:34Mwanaharakati mashuhuri wa haki za binadamu wa Kiislamu amesema kufutiwa tuhuma zote kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) Sheikh Ibrahim Zakzaky na mkewe baada ya mashaka makubwa ya miaka sita, ni kielelezo cha kufeli sera za Abuja za kuwanyanyasa na kuwakandamiza wanaharakati hao.
-
Hukumu ya kuachiliwa huru Sheikh Zakzaky na mkewe; ushindi kwa mrengo wa subira na mapambano
Jul 29, 2021 05:38Mahakama Kuu ya Jimbo la Kaduna nchini Nigeria Jumatano ilifutilia mbali tuhuma zote alizobambikiziwa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na mkewe, na kutoa amri ya kuachiliwa kwao mara moja.
-
Mripuko wa kipindupindu waua watu 479 nchini Nigeria
Jul 28, 2021 06:46Mamia ya watu wameripotiwa kuaga dunia kutokana na mripuko wa maradhi ya kipindupindu nchini Nigeria.
-
Waislamu wa Nigeria waadhimisha kumbukizi ya mauaji ya Siku ya Quds
Jul 26, 2021 07:58Wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) wameadhimisha kumbukumbu ya mauaji ya makumi ya wanachama wenzao waliouawa na wanajeshi wa Nigeria mwaka 2014, wakati wa maandamano ya kulaani ukatili wanaofanyiwa Wapalestina na utawala wa Kizayuni wa Israel, wakati wa Siku ya Kimataifa ya Quds.