-
Wanachama 13 wa Boko Haram wajisalimisha kwa jeshi la Nigeria
Sep 28, 2020 08:17Wanachama 13 wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram wamejisalimisha kwa jeshi la Nigeria, katika operesheni iliyolenga kusafisha mabaki ya wanamgambo hao huko kaskazini mashariki mwa nchi.
-
Waliouawa katika shambulizi la Boko Haram Nigeria waongeza
Sep 27, 2020 04:29Idadi ya watu waliouawa katika shambulizi la kundi la kigaidi la Boko Haram dhidi ya msafara wa Gavana wa jimbo la Borno la kaskazini mashariki mwa Nigeria imeongezeka na kufikia watu 30.
-
28 wauawa katika mripuko wa lori la mafuta Nigeria
Sep 24, 2020 00:01Kwa akali watu 28 wamepoteza maisha katika mripuko wa lori la mafuta katika jimbo la Kogi, katikati mwa Nigeria.
-
Iran na Nigeria kushirikiana zaidi katika masuala ya nishati
Sep 23, 2020 23:13Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Nigeria zimetilia mkazo wajibu wa kustawishwa uhusiano wao katika nyuga mbalimbali hasa za nishati kwa kadiri inavyowezekana.
-
Magaidi 16 wa Boko Haram waangamizwa na jeshi la Nigeria
Sep 19, 2020 08:17Jeshi la Nigeria limetangaza habari ya kuuawa wanachama 16 wa kundi la kigaidi la Boko Haram huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Mafuriko yaua watu zaidi ya 70 nchini Nigeria
Sep 18, 2020 03:36Kwa akali watu 77 wameaga dunia kufuatia mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazonyesha nchini Nigeria.
-
Wanaobaka watoto wadogo jimboni Kaduna, Nigeria kuhasiwa
Sep 12, 2020 06:59Wabunge katika jimbo la Kaduna nchini Nigeria wamepasisha muswada wa sheria inayotoa adhabu ya kuwahasi wale wataokutwa na hatia ya kuwabaka watoto walio chini ya umri wa miaka minne.
-
Watu 10 wauawa katika shambulizi la Boko Haram, Maiduguri Nigeria
Sep 08, 2020 03:19Watu wasiopungua 10 wameuawa katika shambulizi la kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram huko kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Sayyid Raisi: Kushambuliwa Waislamu wanaoomboleza mauaji ya Imam Husain AS nchini Nigeria ni kinyume cha katiba
Aug 31, 2020 09:02Mkuu wa Chombo cha Mahakama cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani kitendo cha wanajeshi wa Nigeria cha kuwashambulia Waislamu waliokuwa kwenye maomboleza ya Imam Husain AS na kusema kuwa kitendo hicho ni kinyume na katiba na kinakinzana na uhuru wa kila mtu kuwa na itikadi anayotaka.
-
Askari usalama washambulia waombolezaji katika kumbukumbu ya Ashura nchini Nigeria
Aug 30, 2020 22:05Askari usalama nchini Nigeria jana viliwashambulia waombolezaji katika kumbukumbu ya Ashura na kuwajeruhi kadhaa miongoni mwao.