Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Buhari: Mashambulizi dhidi ya raia wa kigeni Afrika Kusini ni aibu kwa Afrika

    Buhari: Mashambulizi dhidi ya raia wa kigeni Afrika Kusini ni aibu kwa Afrika

    Oct 04, 2019 23:08

    Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema kuwa, wimbi la mashambulizi yaliyowalenga Wanigeria na wageni wa mataifa mengine ya Afrika huko Afrika Kusini mwezi uliopita yalikuwa aibu kwa bara zima la Afrika.

  • Buhari akadhibisha uvumi, asema hatagombea tena kiti cha rais Nigeria

    Buhari akadhibisha uvumi, asema hatagombea tena kiti cha rais Nigeria

    Oct 03, 2019 03:59

    Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amekadhibisha uvumi unaosambazwa nchini humo kupitia mitandao ya kijamii ukidai kwamba, ana nia ya kugombea tena kiti hicho kwa mara ya tatu.

  • Polisi Nigeria yawakomboa wanawake waliobebeshwa mimba kwenye 'kiwanda cha watoto wachanga' cha Lagos

    Polisi Nigeria yawakomboa wanawake waliobebeshwa mimba kwenye 'kiwanda cha watoto wachanga' cha Lagos

    Oct 02, 2019 00:43

    Polisi katika mji mkubwa zaidi nchini Nigeria wa Lagos imewakomboa wanawake na wasichana 19, ambao akthari yao walikuwa wametekwa nyara na kubebeshwa mimba na watu waliopanga kuwauza watoto wao baada ya kuzaliwa.

  • Jumanne, tarehe Mosi Oktoba, 2019

    Jumanne, tarehe Mosi Oktoba, 2019

    Sep 30, 2019 23:15

    Leo ni Jumanne tarehe Pili Safar 1441 Hijria sawa na Oktoba Mosi 2019.

  • Mripuko wa homa ya manjano waua watu 16 nchini Nigeria

    Mripuko wa homa ya manjano waua watu 16 nchini Nigeria

    Sep 30, 2019 04:11

    Mripuko wa homa ya manjano nchini Nigeria umesababisha vifo vya watu 16 katika jimbo la Bauchi, kaskazini mwa nchi hiyo ya Afrika Magharibi.

  • Polisi ya Nigeria yawaokoa watoto 500 kutoka katika kituo cha mateso

    Polisi ya Nigeria yawaokoa watoto 500 kutoka katika kituo cha mateso

    Sep 29, 2019 09:01

    Polisi nchini Nigeria imefanikiwa kuwaokoa watoto na vijana mabarobaro kutoka katika kituo kimoja ambacho walikuwa wakifanyiwa mateso.

  • UN: Mapigano yamefanya watu 40,000 wakimbie Nigeria

    UN: Mapigano yamefanya watu 40,000 wakimbie Nigeria

    Sep 28, 2019 07:44

    Umoja wa Mataifa umesema mapigano na ghasia huko kaskazini magharibi mwa Nigeria zimefanya makumi ya maelfu ya raia wa nchi hiyo wakimbilie usalama wao katika nchi jirani ya Niger.

  • Mamia ya watoto waliokuwa wakishikiliwa mateka Nigeria waokolewa

    Mamia ya watoto waliokuwa wakishikiliwa mateka Nigeria waokolewa

    Sep 27, 2019 23:09

    Jeshi la Polisi la Nigeria limetangaza habari ya kuwakomboa watu 300, aghalabu yao wakiwa watoto wadogo, ambao walikuwa wameshikwa mateka ndani ya jengo moja katika mji wa Kaduna, kaskazini mwa nchi.

  • DAESH (ISIS) laua askari 14 katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria

    DAESH (ISIS) laua askari 14 katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Sep 26, 2019 04:05

    Kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS) limetangaza kuwa, limewaua askari 14 wa jeshi la Nigeria katika shambulio lililofanya hapo jana katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Makumi ya watu waliotekwa nyara Nigeria waachiwa huru

    Makumi ya watu waliotekwa nyara Nigeria waachiwa huru

    Sep 24, 2019 04:40

    Makumi ya watu waliokuwa wametekwa nyara na watu wenye silaha kaskazini magharibi mwa nchi ya Nigeria kwa miezi kadhaa sasa hatimaye wameachiwa huru.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS