-
Makamanda 7 wa kundi la kigaidi la Boko Haram wauawa nchini Nigeria
Sep 21, 2019 23:01Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, kwa akali limewaua makamanda saba wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika operesheni dhidi ya wanamgambo hao iliyoendeshwa na jeshi la nchi hiyo likishirikiana na majeshi mengine ya nchi kadhaa katika Ukanda wa Ziwa Chad.
-
Mamia ya Wanigeria wamerejea nyumbani wakihofia mashambulizi ya xenophobia
Sep 20, 2019 03:53Maafisa wa serikali ya Nigeria wametangaza kuwa raia zaidi ya 300 wa nchi hiyo wamerejea nyumbani hadi sasa kutoka Afrika Kusini kwa kuhofia mashambulizi yanayowalenga raia wa nchi za Kiafrika wanaoishi nchini humo.
-
Boko Haram yaua watu 9 kwa mishale, mikuki na mapanga Nigeria
Sep 19, 2019 09:58Watu wanaoshukiwa kuwa wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram wameshambulia kijiji kimoja huko kaskazini mashariki mwa Nigeria na kuua watu tisa.
-
Magaidi wa Boko Haram waua wanajeshi 9 wa Nigeria
Sep 12, 2019 07:22Magaidi wa kundi la Boko Haram wameshambulia kituo cha kijeshi kaskazini mashariki mwa Nigeria na kuwaua wanajeshi tisa.
-
Mamia ya raia wa Nigeria warejea nyumbani kutoka Afrika Kusini, Xenophobia yaendela kuchoche ghasia
Sep 12, 2019 02:31Mamia ya raia wa Nigeria waondoka nchini Afrika Kusini na kureje nchini kwao wiki moja baada ya kushadidi ghasia na mauaji yanayowalenga raia wa kigeni hususan Waafrika wanaoishi nchini humo.
-
Kuendelea uadui dhidi ya Waislamu wa Nigeria; 12 wauawa shahidi katika kumbukumbu ya Ashura
Sep 11, 2019 06:43Ikiwa ni katika kuendeleza siasa za chuki na uadui za serikali ya Nigeria dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo, vikosi vya usalama jana viliwafyatulia risasi Waislamu walioshiriki katika kumbukkumbu ya Ashura na kuwaua shahidi kwa akali waombolezaji 12 na kuwajeruhi makumi ya wengine.
-
Kamisheni ya Haki za Binadamu: Saudia imehusika katika mauaji ya Waislamu Nigeria
Sep 11, 2019 02:24Mkuu wa Kamisheni ya Kiislamu ya Haki za Binadamu (IHRC) yenye makao makuu yake mjini London, Uingereza amesema ni mantiki kuhukumu kuwa kulikweko na mkono wa Saudi Arabia katika mauaji ya Waislamu waliokuwa katika maombolezo ya Siku ya Ashura (tarehe 10 Muharram) wakikumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw), Imam Hussein AS hapo jana nchini Nigeria.
-
Watu kadhaa wauawa katika maombolezo ya siku ya Ashura nchini Nigeria
Sep 10, 2019 10:07Waislamu kadhaa waliokuwa katika maombolezo ya Siku ya Ashura (tarehe 10 Muharram) wakikumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw) wameuawa leo kwa kupigwa risasi nchini Nigeria.
-
Mamia ya raia wa Nigeria wanaoishi Afrika Kusini kurejeshwa nyumbani
Sep 10, 2019 03:11Serikali ya Nigeria inatazamiwa kuanza kuwarejesha nyumbani mamia ya raia wake wanaoishi nchini Afrika Kusini, kufuatia wimbi la ghasia na mashambulizi yaliowalenga wageni katika nchi hizo mbili.
-
Juhudi za Niger na Nigeria za kukabiliana na makundi ya wabeba silaha
Sep 09, 2019 02:57Viongozi wa majimbo ya mpakani ya Niger na Nigeria wamefanya vikao vya pamoja kwa madhumuni ya kukabiliana na vitendo vya mabavu vinavyotekelezwa na makundi ya wabeba silaha.