Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Rais wa Nigeria kutembelea Afrika Kusini baada ya kuvurugika uhusiano

    Rais wa Nigeria kutembelea Afrika Kusini baada ya kuvurugika uhusiano

    Sep 08, 2019 02:57

    Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria atatembelea Afrika Kusini mwezi ujao kujaribu kuboresha uhusiano uliovurugika wa nchi mbili kufuatia wimbi la ghasia na mashambulizi yaliowalenga wageni katika nchi hizo mbili.

  • Afrika Kusini yakiri:

    Afrika Kusini yakiri: "Afrophobia" inahusika katika hujuma zinazowalenga raia wa kigeni

    Sep 05, 2019 08:16

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini amesema kuwa tabia ya kujichukulia sheria mkononi dhdi ya raia wa nchi nyingine za Afrika wanaoishi nchini humo ni moja kati ya sababu za mashambulizi na hujuma zinazowalenga wafanyabiashara wa nchi za kigeni katika miji mbalimbali ya nchi hiyo.

  • Nigeria kususia mkutano wa kimataifa wa uchumi, yapinga ukatili dhidi ya wageni Afrika Kusini

    Nigeria kususia mkutano wa kimataifa wa uchumi, yapinga ukatili dhidi ya wageni Afrika Kusini

    Sep 05, 2019 05:17

    Serikali ya Nigeria iimetangaza kuwa itasusia mkutano wa kiuchumi wa kimataifa uofanyika Cape Town, hatua ambayo imezidisha mivutano wa kidiplomasia baada ya hujuma na mashambulizi yanayowalenga raia wa kigeni huko Afrika Kusini.

  • Wanigeria wenye hasira walipiza kisasi, wapora maduka ya Waafrika Kusini

    Wanigeria wenye hasira walipiza kisasi, wapora maduka ya Waafrika Kusini

    Sep 05, 2019 00:09

    Mashambulizi dhidi ya raia wa kigeni huko Johannesburg, Afrika Kusini yameibua hasira kote barani Afrika ambapo maduka yanayomilikiwa na mashirika ya Afrika Kusini yameporwa nchini Nigeria.

  • Licha ya vizuizi vikali vya polisi, maombolezo ya Muharram yafanyika katika miji mbali mbali ya Nigeria

    Licha ya vizuizi vikali vya polisi, maombolezo ya Muharram yafanyika katika miji mbali mbali ya Nigeria

    Sep 03, 2019 09:12

    Hadhara za maombolezo ya mwezi wa Muharram zinaendelea kufanyika katika miji mbali mbali nchini Nigeria licha ya vizuizi vikali vilivyowekwa na polisi ya nchi hiyo.

  • Kuzidi kuzorota afya ya Sheikh Ibrahim Zakzaky na kuendelea mashinikizo ya serikali ya Nigeria

    Kuzidi kuzorota afya ya Sheikh Ibrahim Zakzaky na kuendelea mashinikizo ya serikali ya Nigeria

    Sep 02, 2019 03:21

    Baada ya kupita majuma mawili tangu kurejea nchini Nigeria Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo akitokea nchini India, mashinikizo dhidi yake yameongezeka huku akiendelea kubakia bila ya kupatiwa matibabu.

  • Polisi ya Nigeria yaanzisha wimbi jipya la ukandamizaji dhidi ya wafuasi wa Sheikh Zakzaky sambamba na kuwadia Muharram

    Polisi ya Nigeria yaanzisha wimbi jipya la ukandamizaji dhidi ya wafuasi wa Sheikh Zakzaky sambamba na kuwadia Muharram

    Sep 01, 2019 03:22

    Sambamba na kuwadia mwezi wa Muharram, jeshi la polisi nchini Nigeria limetoa amri ya kushadidishwa ukandamizaji dhidi ya wafuasi na waungaji mkono wa kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky.

  • Magaidi wa kaskazini mwa Nigeria waua raia 11

    Magaidi wa kaskazini mwa Nigeria waua raia 11

    Aug 30, 2019 07:57

    Magaidi wa Nigeria wanaodhaniwa kuwa wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram wameua raia wasiopungua 11 huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Njama mpya za serikali ya Nigeria dhidi ya Sheikh Zakzaky

    Njama mpya za serikali ya Nigeria dhidi ya Sheikh Zakzaky

    Aug 29, 2019 07:48

    Serikali ya Nigeria imeanzisha njama mpya dhidi ya Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky na kudai kwamba eti anapanga njama za mapinduzi.

  • Watu zaidi ya 50 watekwa nyara kaskazini magharibi mwa Nigeria

    Watu zaidi ya 50 watekwa nyara kaskazini magharibi mwa Nigeria

    Aug 29, 2019 03:17

    Watu wasiojulikana wamewateka nyara raia wasiopungua 50 katika shambulizi walilolifanya kaskazini magharibi mwa Nigeria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS