-
Juhudi za Waislamu wa Nigeria na kuachiliwa kwa masharti Sheikh Ibrahim Zakzaky
Aug 07, 2019 02:11Baada ya kupita mwezi mmoja tangu kutangazwa habari ya kuzidi kuzorota hali ya kiafya ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na juhudi za Waislamu wa nchi hiyo za kutaka kuachiliwa huru mwanaharakati huyo, hatimaye Jumatatu ya juzi tarehe 6 Agosti, Mahakama Kuu ya Kaduna ilitoa hukumu ya kuachiwa huru mwanaharakati huyo ili asafiri kuelekea nje ya nchi kwa ajili ya matibabu.
-
Askari usalama Nigeria watawanya maandamano ya "Mapinduzi Sasa" huko Lagos
Aug 05, 2019 22:26Askari usalama wa Nigeria jana Jumatatu waliwatawanya washiriki wa maandamano yaliyopewa jina la "Mapinduzi Sasa" katika mji mkuu wa nchi hiyo, Lagos.
-
Mahakama ya Kaduna Nigeria yatoa hukumu ya kuachiliwa Sheikh Zakzaky kwa ajili ya matibabu
Aug 05, 2019 06:56Mahakama Kuu ya Kaduna nchini Nigeria leo imetoa hukumu ya kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu yay Nigeria na kuruhusiwa kwenda kutibiwa nje ya nchi.
-
OCHA: Hali ya kibinadamu ni mbaya kaskazini mashariki mwa Nigeria
Aug 02, 2019 02:48Umoja wa Mataifa na maafisa wa mashirika ya utoaji misaada wanasema kuwa, hali ya kibinadamu kaskazini mashariki mwa Nigeria ni mbaya ikiwa ni miaka 10 tangu kuzuka machafuko katika maeneo hayo.
-
Askari wasiopungua 25 wa Nigeria na Chad wauawa katika shambulio la Boko Haram kaskazini mwa Nigeria
Aug 01, 2019 20:47Kwa akali askari 25 wameuawa katika shambulio la kuvizia lililofanywa na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram kaskazini mwa Nigeria.
-
Kupigwa marufuku shughuli za Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na taathira zake
Jul 29, 2019 05:32Wakati Waislamu wa Nigeria wakiendeleza jitihada za kuhakikisha kwamba kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky anaachiwa huru, Rais wa nchi hiyo amepiga marufuku shughuli zote za harakati hiyo.
-
Idadi ya raia waliouawa na Boko Haram huko Maiduguri yaongezeka na kufikia 65
Jul 29, 2019 00:08Idadi ya watu waliuawa kaskazini mwa Nigeria baada ya kundi la kigaidi la Boko Haram kuwashambulia watu waliokuwa wakitoka msibani imeongezeka na kufikia 65.
-
Watu 23 wauawa kwa mashambulio ya kundi la Boko Haram kaskazini mwa Nigeria
Jul 28, 2019 07:29Watu wasiopungua 23 wameuawa kaskazini mwa Nigeria na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya kundi la kigaidi la Boko Haram kufanya mashambulio katika maeneo hayo.
-
Guterres aombwa kufuatilia hali ya Sheikh Zakzaky ili apatiwe matibabu
Jul 24, 2019 22:08Wasomi na wanafikra 52 wamemwandikia barua Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wakimtaka asaidie jitihada za kuwaondoa huko Nigeria Sheikh Ibrahim Zakzaky pamoja na mkewe Malam Zeenat ili waweze kupatiwa matibabu nje ya nchi haraka iwezekanavyo.
-
Wasomi 52 wamtaka Guterres aingilie kati kadhia ya Sheikh Zakzaky
Jul 23, 2019 12:34Wasomi na wanafikra 52 wamemtaka Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa asaidie jitihada za kutaka kuachiwa huru mara moja Sheikh Ibrahim Zakzaky huko Nigeria kwa ajili ya kupatiwa matibabu.