-
Waislamu 6 wafuasi wa Sheikh Zakzaky wauawa kwa kupigwa risasi, Abuja
Jul 22, 2019 23:52Wafuasi 6 wa kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameuawa kwa kupigwa risasi na polisi wa Nigeria mjini Abuja.
-
Mahakama yaakhirisha kutoa hukumu dhidi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky
Jul 22, 2019 03:29Mahakama Kuu katika jimbo la Kaduna nchini Nigeria imeakhirisha kutoa hukumu ya kesi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
-
Chama cha madaktari Iran chaonya kuhusiana na hali ya Sheikh Ibrahim Zakzaky
Jul 21, 2019 06:45Chama cha Wahadhiri na Wanachuo wa Sayansi ya Tiba nchini Iran kimetahadharisha kuhusiana na hali ya kiafya ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
-
Makumi ya raia wauawa kaskazini magharibi mwa Nigeria, jeshi latumwa kulinda amani
Jul 21, 2019 03:07Serikali ya Nigeria imetangaza kuwa, raia wasiopungua 37 wameuawa katika mashambulizi yaliyofanywa na makundi ya watu wenye silaha huko kaskazini magharibi mwa Nigeria.
-
Wanigeria waendeleza maandamano ya kutaka kuachiwa huru Zakzaky
Jul 20, 2019 02:59Waislamu na wanaharakati nchini Nigeria jana Ijumaa waliendeleza maandamano ya kutaka kuachiwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo licha ya kukabiliwa kwa mkono wa chuma na maafisa usalama wa nchi hiyo.
-
Mahakama ya Nigeria yachunguza uwezekano wa kuruhusiwa Sheikh Zakzaky kutibiwa nje ya nchi
Jul 18, 2019 22:06Duru za kieneo zimetangaza kuwa, Mahakama Kuu ya Nigeria inachunguza uwezekano wa kuruhusiwa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongbozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo kwenda kutibiwa nje ya nchi.
-
Jeshi la Nigeria laendelea kumwaga damu za wafuasi wa Zakzaky
Jul 17, 2019 02:52Mtu mmoja ameuawa na maafisa usalama katika mji wa Kano nchini Nigeria wakati wa maandamano makubwa ya kushinikiza kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria anayeshikiliwa korokoroni kwa miaka kadhaa sasa.
-
Maulamaa wa Iran waitaka Nigeria imuachie huru Sheikh Zakzaky
Jul 16, 2019 02:44Jumuiya ya Wanazuoni wa Hauza ya Kidini ya Qom hapa nchini Iran sambamba na kulaani kuendelea kushikiliwa korokoroni katika mazingira mabaya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi Nigeria, wameitaka serikali ya Abuja imuachie huru kiongozi huyo wa Waislamu ya madhehebu ya Shia.
-
Msimamo wa Waislamu wa Nigeria wa kuendelea kufuatilia takwa la kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky
Jul 15, 2019 05:56Waislamu wa Nigeria wameendelea na maandamano yao katika miji mbalimbali ya nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika wakitaka kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
-
Maandamano makubwa yafanyika Kano Nigeria ya kutaka kuachiliwa huru Sheikh Zakzaky
Jul 14, 2019 22:04Mji wa Kano nchini Nigeria jana (Jumapili) ulishuhudia maandamano makubwa ya kushinikiza kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria anayeshikiliwa korokoroni kwa miaka kadhaa sasa.