-
Jumapili, 03 Agosti, 2025
Aug 02, 2025 22:54Leo ni Jumapili tarehe 9 Mfunguo Tano Safar 1447 Hijria mwafaka na 3 Agosti 2025 Miladia.
-
Kufuatia hatua ya TZ, EAC yazitolea mwito nchi wanachama ziheshimu mpango wa soko la pamoja
Aug 01, 2025 03:47Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Veronica Nduva, amezitaka nchi wanachama za jumuiya hiyo kutekeleza mikataba yenye kuheshimu mpango wa soko la pamoja kwa ajili ya kufikia utangamano wa kikanda.
-
Mlipuko wa kipindupindu wauwa watu 13 katika jimbo la Niger, nchini Nigeria
Jul 24, 2025 07:01Takriban watu 13 wamefariki dunia na wengine 239 wameambukizwa ugonjwa wa kipindupindu unaoendelea kuenea katika wilaya sita za jimbo la Niger katikati mwa Nigeria. Taarifa hii imetolewa na mamlaka husika katika jimbo la Niger.
-
Maisha ya watu milioni 1.3 Nigeria yako hatarini baada ya WFP kusitisha misaada
Jul 24, 2025 03:19Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetangaza kuwa litalazimika kusitisha msaada wa chakula na lishe kwa watu milioni 1.3 katika eneo lililokumbwa na machafuko zaidi kaskazini mashariki mwa Nigeria mwishoni mwa mwezi huu wa Julai kutokana na hifadhi yake ya chakula na virutubisho vya lieshe kumalizika.
-
6 wauawa, 100 watekwa katika shambulio la majambazi Zamfara, Nigeria
Jul 18, 2025 13:05Watu wenye silaha wameripotiwa kuwauwa watu wasiopungua sita na kuwateka nyara wengine zaidi ya 100, wakiwemo wanawake na watoto, katika shambulio dhidi ya watu wa jamii ya Kairu katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria.
-
Novak: Ushirikiano wa Russia, Nigeria ni muhimu kwa uthabiti wa soko la mafuta
Jul 16, 2025 10:03Naibu Waziri Mkuu wa Russia, Alexander Novak amesema ushirikiano wa nchi hiyo na Nigeria katika fremu ya OPEC+ una nafasi muhimu katika kudumisha uthabiti wa soko la mafuta duniani.
-
27 wauawa katika shambulio la watu wenye silaha katika jimbo la Plateau, Nigeria
Jul 15, 2025 13:46Watu wasiopungua 27 wameuawa katika shambulio lililofanywa na watu wenye silaha kaskazini kati mwa jimbo la Nigeria la Plateau, katika machafuko ya hivi karibuni yaliyolikumba eneo hilo ambalo halina usalama wa kutosha.
-
Muhammadu Buhari, rais wa zamani wa Nigeria afariki dunia Uingereza alikokuwa matibabuni
Jul 13, 2025 14:57Muhammadu Buhari, rais wa zamani wa Nigeria aliyewahi pia kuitawala nchi hiyo kijeshi amefariki dunia mjini London, Uingereza alikokuwa kipatiwa matibabu akiwa na umri wa miaka 82.
-
Nigeria: US inazilazimisha nchi za Afrika ziwapokee wakimbizi Wavenezuela
Jul 11, 2025 13:11Nigeria imefichua kuwa Marekani inazishinikiza nchi za bara Afrika kuwakubali wakimbizi wa Venezuela wanaofukuzwa nchini Marekani.
-
Asasi: Waasi, majambazi Nigeria wameua zaidi katika nusu ya kwanza ya 2025 kuliko 2024
Jul 08, 2025 11:04Idadi ya watu waliouawa na majambazi au waasi nchini Nigeria katika nusu ya kwanza ya mwaka huu, ni kubwa mno kuliko idadi ya waliouawa mwaka wote wa 2024, kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa jana Jumanne na shirika la haki za binadamu la Nigeria.