-
FAO yatahadharisha kuhusu kuzidi ukosefu wa usalama wa chakula Yemen
Mar 01, 2018 04:00Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetahadharisha kwamba, hali ya ukosefu wa usalama wa chakula inazidi kuwa mbaya huko nchini Yemen.
-
FAO: Zaidi ya watu milioni 220 wanakabiliwa na njaa barani Afrika
Feb 24, 2018 23:18Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetangaza kuwa, zaidi ya watu milioni 220 wanakabiliwa na baa la njaa barani Afrika.
-
Rais wa Malawi awataka wananchi kuombea mvua
Jan 20, 2018 01:09Rais Peter Mutharika wa Malawi amewataka viongozi wa serikali kuliongoza taifa hilo katika maombi maalumu ya kuomba mvua, katika hali ambayo nchi hiyo inakabiliwa na ukame na uhaba wa chakula.
-
FAO yataka uwekezaji zaidi katika kupambana na njaa na umasikini
Jan 05, 2018 00:21Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetoa wito wa kuweko uwekezaji zaidi katika uga wa kupambana na umasikini na njaa ulimwenguni.
-
Malawi yatangaza maafa katika wilaya 20 za nchi hiyo
Dec 18, 2017 10:59Malawi ambayo tayari inayosumbuliwa na mafuriko kutokana na mvua nyingi, imetangaza maafa katika wilaya 20 baada ya uharibifu mkubwa wa mazao ya kilimo uliosababishwa na hujuma ya wadudu wanaoharibu mazao na kutishia usalama wa chakula.
-
UN: Watu zaidi ya milioni 8.4 wa Yemen wapo katika ncha ya kufa njaa
Dec 12, 2017 04:40Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, watu milioni 8 na laki 4 wamebakisha 'hatua moja' watumbukie katika mgogoro mkubwa njaa.
-
FAO yataka kuweko juhudi za kupambana na tatizo la njaa ulimwenguni
Nov 30, 2017 00:14Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetoa wito wa kuungwa mkono na kusaidiwa wazalishaji wadogo ili kukabiliana na tatizo la njaa ulimwenguni.
-
UN: Watu milioni 1.2 wakabiliwa na baa la njaa Sudan Kusini
Nov 06, 2017 10:10Umoja wa Mataifa umesema watu milioni moja, laki mbili na elfu 50 wapo katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na baa la njaa nchini Sudan Kusini.
-
The Gardian: UN inashirikiana na Myanmar kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Rohingya
Oct 17, 2017 11:42Gazeti la The Gardian linalochapishwa nchini Uingereza limefichua kuwa Umoja wa Mataifa unashirikiana na serikali ya Myanmar katika kuficha dhulma na ukandamizaji unaofanywa na serikali ya nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya.
-
UN: Watu zaidi ya milioni 800 wanakabiliwa na baa la njaa kote duniani
Sep 15, 2017 09:50Taasisi kadhaa za Umoja wa Mataifa zimesema kiwango cha njaa duniani kimeongezeka kwa kiasi kikubwa sana kwa mara ya kwanza katika kipindi cha muongo mmoja uliopita na kwamba asilimia 11 ya idadi ya watu kote duniani inasumbuliwa na makali ya njaa.