-
UN: Ethiopia inakabiliwa na Janga la njaa linaloweza kuongezeka
Sep 05, 2017 23:12Uwekezaji wa kina unahitajika ili wakazi wanaokabiliwa na njaa kutokana na ukame uliokithiri katika jimbo la Somali nchini Ethiopia waweze kustahimili ukame wa mara kwa mara unaosababishwa na athari za mabadiliko ya tabianchi.
-
FAO: Idadi ya watu walioathiriwa na njaa itaongezeka
Jul 03, 2017 08:31Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limesema kuwa, watu milioni 20 wanasumbuliwa na njaa na utapiamlo kote duniani.
-
Ethiopia kuishiwa na chakula cha misaada
Jun 10, 2017 11:27Serikali ya Ethiopia na makundi ya misaada ya kibinadamu yametangaza kuwa, nchi hiyo itaishiwa na chakula cha misaada kwa ajili ya watu milioni 7.8 walioathiriwa na ukame mkubwa hadi kufikia mwishoni mwa mwezi huu.
-
FAO yachukua hatua kuzuia makali ya kiangazi Somalia
Jun 03, 2017 02:47Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetibu mifugo zaidi ya milioni 12 chini ya miezi mitatu iliyopita, kwa shabaha ya kudhibiti makali ya ukame na baa la njaa nchini Somalia.
-
UN: Dola milioni 900 zinahitajika kunusuru maisha ya Wasomali milioni 6
May 11, 2017 10:29Umoja wa Mataifa umesema unahitajia dola milioni 900 za Marekani kufikia mwishoni mwa mwaka huu kwa ajili ya kunusuru maisha ya raia milioni 6 wa Somalia wanaohitajia misaada ya dharura ya kibinadamu.
-
WFP yaomba misaada ya haraka ya kibinadamu kwa ajili ya Yemen
Apr 25, 2017 03:32Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) kwa mara nyingine tena limetahadharisha kuwa ukame na njaa vinatishia maisha ya raia karibu milioni 17 wa Yemen.
-
Wakimbizi wa njaa kutoka Somalia wamiminika Kenya
Apr 11, 2017 02:10Ukame ulioathiri sehemu mbalimbali Somalia umesababisha Wasomali wasiopungua 2,000 kuvuka mpaka na kuingia katika kambi ya Dadaab nchini Kenya katika miezi ya hivi karibuni. Hayo ni kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR.
-
US$ Milioni 255 zahitajika kuwasaidia watoto kukabiliana na njaa Afrika, Yemen
Mar 30, 2017 02:12Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF limesema, watoto takriban milioni 1.4 nchini Nigeria, Somalia, Sudan Kusini na Yemen wako katika hatari ya kukabiliwa na njaa.
-
Msalaba Mwekundu: Wakenya milioni 3 wanahitajia msaada wa chakula
Mar 28, 2017 12:06Shirika la Msalaba Mwekundu limesema Kenya inahitajia msaada wa dharura wa chakula ili kunusuru maisha ya watu milioni 3 wanaokabiliwa na hatari ya kufa njaa kutokana na kushtadi ukame nchini humo.
-
UN yaitaka jamii ya kimataifa kukabiliana na tatizo la njaa nchini Somalia
Mar 23, 2017 12:18Kwa mara nyingine Umoja wa Mataifa umeitaka jamii ya kimataifa kukabiliana na tatizo la njaa lililoikumba Somalia.