-
UN: Nusu ya wakazi wa Gaza katika hatari ya kufa njaa
Dec 15, 2023 07:08Afisa wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa ameonya kuwa, asilimia 50 ya wakazi wa eneo la Palestina la Ukanda wa Gaza linalokaliwa kwa mabavu wapo hatari ya kupoteza maisha kutokana na makali ya njaa.
-
Njaa yaua watu 176 eneo la Tigray, Ethiopia
Dec 13, 2023 23:40Watu wasiopungua 176 wameaga dunia katika eneo la Tigray la kaskazini mwa Ethiopia kutokana na njaa iliyosababishwa na ukame ambao umeendelea kushuhudiwa katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo.
-
Ripoti: Karibu robo milioni ya watu wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula
Sep 15, 2023 08:20Takriban watu milioni 238 wanasumbuliwa na viwango vya juu vya ukosefu wa usalama (utoshelevu) wa chakula katika nchi 48 duniani.
-
Mamilioni wahama makazi yao Somalia kutokana na ukame, migogoro
Aug 31, 2023 23:35Robo ya wananchi wote wa Somalia wamelazimika kuyahama makazi yao kutokana na ukame na migogoro.
-
Watoto milioni 3 katika hatari ya kufa njaa Sudan Kusini
Jul 28, 2023 08:35Maafisa wa serikali ya Sudan Kusini wamesema mamilioni ya watoto nchini humo wapo katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na mgogoro wa njaa unaolikabili taifa hilo changa zaidi barani Afrika.
-
Mamilioni ya watoto wa Yemen wanakabiliwa na hatari ya baa la njaa
Jul 19, 2023 04:30Zaidi ya watoto milioni 6 nchini Yemen wanakabiliwa na hatari ya baa la njaa na kwamba, wanahitajia misaada ya haraka ya chakula na dawa.
-
UN: Kuongezeka kwa njaa duniani ni matokeo ya Corona na vita
Jul 14, 2023 04:32Umoja wa Mataifa umetangaza kwamba migogoro mingi, ikiwa ni pamoja na vita na maambukizi ya virusi vya Corona, imezidisha idadi ya watu wenye njaa duniani.
-
UN: Mamilioni katika hatari ya kufa njaa Sudan, Haiti, Burkina Faso, Mali
May 29, 2023 07:01Mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa yameonya kuwa, mamilioni ya watu wapo katika hatari ya kufa njaa katika nchi za Sudan, Haiti, Burkina Faso, na Mali.
-
NGO's: Mtu mmoja hufariki dunia kwa njaa kila baada ya sekunde 36 kuanzia Sahel hadi Pembe ya Afrika
Apr 28, 2023 07:57Umoja wa Mataifa na mashirika yasiyo ya kiserikali yametangaza kwamba mtu mmoja hufariki dunia kwa njaa kila baada ya sekunde 36 katika nchi za Ethiopia, Kenya na Somalia, huku watu milioni 18.6 wakikabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula katika eneo la Sahel barani Afrika.
-
Ripoti: Ukame uliua watu zaidi ya 40,000 nchini Somalia 2022
Mar 21, 2023 22:48Utafiti uliofanywa na Wizara ya Afya ya Uswisi, Shirika la Afya Duniani (WHO) na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) umeonyesha kuwa, ukame ambao ni mrefu zaidi kuwahi kurekodiwa nchini Somalia umesababisha makumi ya maelfu ya watu kupoteza maisha.