-
Kulalamikia Chama cha Tahreek-e-Insaf uhusiano wa kibiashara wa Pakistan na utawala haramu wa Israel
Apr 03, 2023 22:40Chama cha Tahreek-e-Insaf cha Pakistan kimelalamikia kuweko uhusiano wa biashara ya bidhaa za chakula baina ya nchi hiyo na utawala haramu wa Israel na kimeitaka Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya nchi hiyo kutoa maelezo kuhusiana na suala hilo.
-
Alkhamisi, tarehe 23 Machi, 2023
Mar 22, 2023 22:42Leo ni Alkhamisi tarehe Mosi Ramadhani 1444 Hijria sawa na 23 Machi 2023.
-
Imran Khan adai lengo la serikali ya Pakistan si kumkamata, ni kumteka nyara na kumuua
Mar 15, 2023 03:59Waziri Mkuun wa zamani wa Pakistan Imran Khan amesema katika ujumbe wa twitter alioandika mapema leo kuwa jaribio la polisi ya nchi hiyo la kumkamata ni "maonyesho tu" lakini nia yao hasa ni "kumteka nyara na kumuua".
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan: Uislamu ni mlindaji mkubwa zaidi wa haki za wanawake
Mar 09, 2023 03:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amesema, Uislamu ni mlindaji mkubwa zaidi wa haki za wanawake.
-
Serikali ya Pakistan yapiga marufuku TV kutangaza hotuba za Imran Khan
Mar 06, 2023 07:06Mamlaka ya Udhibiti wa Vyombo vya Habari vya Kielektroniki vya Pakistan (PEMRA) imezipiga marufuku chaneli za televisheni kurusha hewani hotuba za aliyekuwa waziri mkuu wa nchi hiyo Imran Khan. Hii ni baada ya kumtuhumu waziri mkuu huyo wa zamani kwamba anazishambulia taasisi za serikali na kuchochea chuki ndani ya nchi.
-
Mahakama Pakistan yaamuru waziri mkuu wa zamani Imran Khan akamatwe
Feb 28, 2023 10:05Mahakama ya Islamabad imetoa waranti wa kukamatwa waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan.
-
Alkhamisi, tarehe 23 Februari, 2021
Feb 22, 2023 23:01Leo ni Alkhamisi tarehe Pili Shaaban 1444 Hijria inayosadifiana na tarehe 23 Februari 2023.
-
Pervez Musharraf, rais wa zamani wa Pakistan afariki dunia
Feb 05, 2023 07:04Pervez Musharraf, rais wa zamani wa Pakistan amefariki dunia katika Umoja wa Falme za Kiarabu akiwa na umri wa miaka 79.
-
Baraza la Usalama lalaani shambulio la kigaidi lililoua makumi ya watu msikitini Pakistan
Feb 01, 2023 04:02Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limelaani vikali shambulio la kigaidi lililoua makumi ya watu msikitini Pakistan.
-
Iran, dunia zalaani shambulio la kigaidi lililoua 88 msikitini Pakistan
Jan 31, 2023 03:16Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililotokea jana msikitini kaskazini magharibi mwa Pakistan na kuua na kujeruhi makumi ya watu.