-
Makumi ya Waislamu wauawa katika shambulizi lililolenga msikiti Peshawar, Pakistan
Jan 30, 2023 09:07Watu wasiopungua 56 wameuawa katika shambulizi la kujilipua kwa bomu lililotokea katika msikiti wa mji wa Peshawar huko kaskazini magharibi mwa Pakistan.
-
Ajali mbaya ya barabarani yaua watu 40 nchini Pakistan
Jan 29, 2023 09:49Kwa akali watu 40 wamepoteza maisha katika ajali mbaya ya basi iliyotokea huko kusini magharibi mwa Pakistan.
-
Iran, Pakistan, Uturuki zalaani kuchomwa moto nakala ya Qurani Sweden
Jan 22, 2023 04:34Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imejiunga na ulimwengu wa Kiislamu katika kulaani vikali kitendo cha kuchomwa moto nakala ya Qur'ani Tukufu nchini Sweden.
-
Katika vita vikali vya maneno, Pakistan yamwita waziri mkuu wa India 'Chinjachinja wa Gujarat'
Dec 16, 2022 08:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amemwita waziri mkuu wa India Narednra Modi "Chinjachinja wa Gujarat" baada ya waziri mwenzake wa India kuishutumu Pakistan kuwa "kitovu cha ugaidi" huku majirani hao wenye silaha za nyuklia wakikabiliana kwa vita vya maneno katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan abadilisha msimamo kuhusu Marekani
Nov 15, 2022 21:33Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ametoa matamshi yanayotafautiana na msimamo wake wa huko nyuma kuhusu Marekani kwa kusema: "endapo nitashinda uchaguzi, nitahakikisha tunakuwa na uhusiano na Washington utakaotupa izza na heshima".
-
WHO yatahadharisha juu ya madhara ya mafuriko nchini Pakistan
Nov 06, 2022 23:15Shirika la Afya Duniani WHO kwa mara nyingine tena limetahadharisha kuhusu tishio la kiafya katika maeneo yaliyokumbwa na mafuriko huko Pakistan.
-
Jaribio la mauaji dhidi ya Imran Khan na kuibuka mivutano katika miji mbalimbali ya Pakistan
Nov 06, 2022 06:46Maandamano ya upinzani yameshuhudiwa katika miji kadhaa ya Pakistan baada ya jaribio lililofeli la kutaka kumuua Imran Khan Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo.
-
Imran Khan: Waziri Mkuu wa Pakistan amehusika na njama ya kutaka kuniua
Nov 05, 2022 07:48Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan amemtuhumu mfuatizi wake kuwa amehusika katika njama ya kutaka kumuua.
-
Abdollahian asisitiza kupanua ushirikiano kati ya Iran na Pakistan
Oct 19, 2022 04:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa uhusiano wa Tehran na Islamabd uko katika hali nzuri na kusisitiza juu ya kupanuliwa ushirikiano kati ya Iran na Pakistan katika nyanja zote khususan katika suala la usalama.
-
UN yapitisha azimio la kuisaidia Pakistan, yatoa indhari ya kukumbwa na janga la kiafya
Oct 08, 2022 03:34Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kuonyesha mshikamano na kufanikisha usaidizi kwa serikali na watu wa Pakistan ikiwemo misaada ya kibinadamu, ukarabati na ujenzi mpya sambamba na kuepusha majanga zaidi iwapo taifa hilo litakumbwa na janga la mafuriko kama la sasa.