-
Sisitizo la Pakistan la kutokuweko makubaliano baina yake na Marekani ya operesheni za kijeshi nchini Afghanistan
Oct 25, 2021 02:31Serikali ya Pakistan imekanusha ripoti za vyombo vya habari zinazoeleza kufikiwa makubaliano kati yake na Marekani kwa ajili ya kufanya operesheni za kijeshi na kijasusi nchini Afghanistan.
-
Baba na mhandisi wa kombora la nyuklia la Pakistan afariki dunia
Oct 10, 2021 13:05Baba na mhandisi wa silaha za nyuklia wa Pakistan, Abdul Qadeer Khan ameaga dunia mapema leo Jumapili akiwa na umri wa miaka 85.
-
Mtetemeko wa ardhi waua makumi ya watu nchini Pakistan
Oct 08, 2021 00:54Mtetemeko wa ardhi uliokuwa na ukubwa wa 5.9 kwa kipimo cha Rishta ulitokea mapema jana katika mkoa wa Baluchistan, kusini magharibi mwa Pakistan na kuua watu wasiopungua 23.
-
Siasa za kibeberu za Marekani, msababishaji mkuu wa matatizo yote ya Afghanistan
Oct 07, 2021 04:35Waziri Mkuu wa Pakistan amesema kuwa matatizo yote yaliyoko Afghanistan hivi sasa yamesababishwa na siasa za kibeberu za Marekani
-
Wasiwasi wa Pakistan wa kuweko magenge ya kigaidi nchni Afghanistan
Sep 27, 2021 04:32Waziri Mkuu wa Pakistan ameelezea wasiwasi wake kutokana na kuweko magenge ya kigaidi katika nchi jirani ya Afghanistan kama vile Daesh (ISIS) na Tehrik-i-Taliban.
-
Safari ya Shah Mahmood Qureshi mjini Tehran; Afghanistan ajenga kuu ya mazungumzo ya Iran na Pakistan
Aug 27, 2021 13:20Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan amekutana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran na Rais Ibrahim Raeisi na kujadili pamoja na kubadilishana mawazo kuhusiana na uhusiano wa pande mbili huku matukio ya hivi karibuni nchini Afghanistan yakitawala katika mazungumzo yao.
-
Rais Raisi: Uhusiano wa Iran na Pakistan ni wa tangu na tangu, wa kiimani na wa baina ya watu
Aug 27, 2021 02:37Rais Ebrahim Raisi amesema, uhusiano wa Iran na Pakistan ni wa tangu na tangu, wa kiitikadi na unaotokana na mtazamo wa watu wenyewe wa mataifa hayo mawili.
-
Jumamosi, 14 Agosti, 2021
Aug 13, 2021 23:55Leo ni Jumamosi tarehe 5 Mfunguo Nne Muharram 1443 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 14 Agosti 2021 Miladia.
-
Pakistan yataka kuwajibishwa India kwa jinai dhidi ya wakazi wa Kashmir
Aug 06, 2021 02:21Pakistan imeitaka jamii ya kimataifa kuiwajibisha na kuibebesha dhima New Delhi, kwa kukanyaga haki za binadamu katika eneo linalodhibitiwa na India huko Jammu na Kashmir.
-
Waziri Mkuu wa Pakistan azungumza kwa simu na Rais mteule wa Iran
Jul 05, 2021 07:06Waziri Mkuu wa Pakistan, amefanya mazungumzo ya simu na Rais mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.