-
Mapatano ya India na Pakistan juu ya kusitisha vita katika eneo la Kashmir
Feb 27, 2021 23:48Kwa mara ya kwanza kabisa baada ya miongo miwili, India na Pakistan zimeafikiana kusitisha vita katika eneo linalogombaniwa la Kashmir.
-
Wapakistani waandamana kupinga kuanzishwa uhusiano na Israel
Jan 23, 2021 09:01Makumi ya maelfu ya wananchi wa Pakistan wamefanya maandamano ya kupinga uwezekano wowote wa kuanzishwa uhusiano kati ya nchi hiyo na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Maulamaa wa Pakistan wakosoa filamu tata ya "Mwanamke wa Peponi"
Jan 16, 2021 00:47Wanazuoni wa Kishia na maulamaa wengine wa Kiislamu nchini Pakistan wamelaani na kukosoa vikali filamu tata ya "Mwanamke wa Peponi" na kuitaja kuwa njama za maadui wa Uislamu wenye nia ya kupanda mbegu za chuki baina ya Waislamu.
-
Kutangaza msimamo wa wazi Pakistan wa kupinga kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni
Dec 23, 2020 09:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amepinga aina yoyote ya mashinikizo ya nje dhidi ya nchi hiyo kwa ajili ya kujiunga na safau ya nchi zinazoanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni na kueleza kuwa: Islamabad katu haitaitambua rasmi Israel.
-
Pakistan yaiambia UAE: Katu hatutaitambua Israel
Dec 22, 2020 03:53Kwa mara nyingine tena, serikali ya Pakistan imesisitiza kuwa, kamwe haitoutambua utawala wa Kizayuni wa Israel licha ya mashinikizo ya nchi ajinabi.
-
Imran Khan asisitiza tena: Pakistan haitaitambua Israel wala kuanzisha uhusiano nayo
Dec 19, 2020 04:00Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan amekanusha kuwepo mashinikizo ya aina yoyote ya kuitaka nchi hiyo ijiunge na safu ya nchi zinazofanya mapatano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Waziri Mkuu wa Pakistan apendekeza Ulimwengu wa Kiislamu uvunje uhusiano na Ufaransa
Dec 08, 2020 23:07Vyombo vya habari vya Pakistan vimetangaza kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Imran Khan ametoa pendekezo la kuvunjwa uhusiano wa nchi za Kiislamu na Ufaransa.
-
Pakistan: Kamwe hatukubali kushinikizwa kuitambua rasmi Israel
Nov 17, 2020 22:53Kwa mara nyingine tena, Pakistan imesisitiza kuwa katu haitatumbukia katika mashinikizo ya kufuata mkumbo wa kuitambua rasmi Israel maadamu utawala huo haramu bado unazikalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Tuhuma za kutumika ardhi ya Afghanistan katika kushambuliwa nchi nyingine zakanushwa
Nov 17, 2020 00:22Serikali ya Afghanistan imekanusha tuhuma za kutumika ardhi ya nchi hiyo kufanya mashambulizi dhidi ya nchi nyingine.
-
Wapakistan: Hatutositisha maandamano mpaka balozi wa Ufaransa atimuliwe
Nov 16, 2020 03:41Maelfu ya waandamanaji nchini Pakistan waliofanya mgomo wa kuketi wametangaza kuwa wataendeleza mgomo wao huo mpaka balozi wa Ufaransa nchini humo atimuliwe.