-
Seneti ya Pakistan yapasisha azimio dhidi ya njama ya Trump ya "Muamala wa Karne"
Feb 20, 2020 04:45Baraza la Seneti la Pakistan limepasisha kwa sauti moja azimio linalopinga mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu Palestina uliopewa jina la "Muamala wa Karne" likisema kuwa unawataka Wapalestina wasalimu amri kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Seneti ya Pakistan yapasisha azimio dhidi ya Muamala wa Karne
Feb 19, 2020 04:48Baraza la Seneti la Pakistan limepasisha kwa kauli moja azimio la kulaani mpango wa Kimarekani wa Muamala wa Karne, likisisitiza kuwa njama hizo za Washigton zilizojaa hila zinakusudia kuwafanya Wapalestina wasalimu amri katika hali ya idhilali mbele madhalimu wao.
-
Pakistan haina imani na upatanishi wa Marekani katika mzozo wa Kashmir
Feb 07, 2020 02:41Waziri Kiongozi wa eneo la Kashmir linalodhibitiwa na Pakistan amesema kuwa upatanishi wa Marekani katika utatuzi wa mzozo wa eneo hilo hautakuwa na maslahi kwa Waislamu.
-
Waziri Kiongozi wa Uttar Pradesh: Waislamu walishwe risasi badala ya biriani
Feb 06, 2020 08:55Waziri Kiongozi wa jimbo la Uttar Pradesh nchini India kutoka chama cha Waziri Mkuu wa nchi hiyo ametoa matamshi ya kibaguzi na kichochezi dhidi ya Waislamu akitaka wauawe.
-
Pakistan: Matumaini ya Trump kuwa mpatanishi katika mgogoro wa Kashmir, ni ujinga mkubwa
Feb 03, 2020 12:24Seneta wa ngazi ya juu nchini Pakistan sambamba na kubainisha kwamba Marekani kamwe haijawahi kuwatakia jambo la kheri Waislamu, amesema kuwa Trump hataki hata kidogo kutatuliwa matatizo ya Waislamu wa Kashmir.
-
Msimamo wa Imran Khan kuhusu njia mjarabu ya kufikiwa usalama nchini Afghanistan
Jan 27, 2020 04:37Imran Khan, Waziri Mkuu wa Pakistan sambamba na kusisitiza kutokuwepo njia ya utatuzi wa kijeshi kwa mzozo wa Afghanistan, amesema kuwa amani ya nchi hiyo itafikiwa pale tu kundi la Taleban litakapofanya mazungumzo na serikali ya nchi hiyo.
-
Pakistan yakiri ilifanya kosa kubwa kushirikiana na Marekani katika vita vya Afghanistan
Jan 22, 2020 22:57Waziri Mkuu wa Pakistan amesema kuwa, uamuazi wa nchi yake wa kushirikiana na Marekani katika vita vya Afghanistan kwenye kile kilichodaiwa kuwa ni kupambana na ugaidi, lilikuwa kosa kubwa.
-
Baridi na maporomoko ya theluji yaua watu 67 nchini Pakistan
Jan 14, 2020 08:38Kwa akali watu 67 wamepoteza maisha kutokana na baridi kali ya msimu wa kipupwe pamoja na maporoko ya theluji katika eneo la Kashmir linalodhibitiwa na Pakistan ndani ya masaa 24 yaliyopita.
-
Pakistan yaitaka OIC iwalinde Waislamu wa India
Dec 31, 2019 03:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan ameitaka Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kuwatetea na kuwahami Waislamu wa India.
-
Waziri Mkuu wa Pakistan akosoa vikali muswada wenye utata wa serikali ya India dhidi ya Waislamu
Dec 12, 2019 04:27Imran Khan, Waziri Mkuu wa Pakistan amesema kuwa kupasishwa muswada nchini India ambao unawapa uraia watu wasiokuwa Waislamu, ni ukiukaji wa haki za binaadamu.