Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Pakistan

  • Mtaalamu wa uchumi Islamabad: Mafuta ya Iran yamesaidia ustawi wa Pakistan

    Mtaalamu wa uchumi Islamabad: Mafuta ya Iran yamesaidia ustawi wa Pakistan

    Dec 05, 2019 23:21

    Mtaalamu wa masuala ya kiuchumi wa nchini Pakistan amesema kuwa, kuongezeka uagizaji mafuta kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Kiislamu ya Iran kunakofanywa na serikali ya Islamabad mbali na kwamba kumesaidia kukidhi mahitaji ya nishati hiyo muhimu kwa taifa hilo, lakini pia ni hatua kubwa kwa ajili ya ustawi wa kiuchumi wa Pakistan.

  • Balozi wa Norway aonywa na serikali ya Pakistan kufuatia kuvunjiwa heshima Qur'an Tukufu

    Balozi wa Norway aonywa na serikali ya Pakistan kufuatia kuvunjiwa heshima Qur'an Tukufu

    Nov 25, 2019 04:44

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Pakistan imemwita balozi wa Norway mjini Islamabad kufuatia maandamano makubwa yaliyofanywa na raia wa Pakistan kulaani kitendo cha kuvunjiwa heshima kitabu cha Mwenyezi Mungu (Qur'an Tukufu) katika moja ya miji ya nchi hiyo ya Ulaya.

  • Kuzidi kuharibika uhusiano wa Marekani na Pakistan

    Kuzidi kuharibika uhusiano wa Marekani na Pakistan

    Nov 21, 2019 23:45

    Siku chache zilizopita, Pakistan haikuruhusu ndege moja ya kijeshi ya Marekani kutumia anga yake ikiwa ni katika kile kinachoonekana ni kuzidi kuharibika uhusiano wa Washington na Islamabad.

  • India yafunga kanali za televisheni za Kiislamu Kashmir

    India yafunga kanali za televisheni za Kiislamu Kashmir

    Nov 18, 2019 08:04

    India imepiga marufuku kurushwa matangazo ya kanali za televisheni za nchi za Kiislamu zikiwemo Iran, Uturuki na Malaysia katika eneo la Kashmir iliyo chini ya udhibiti wa serikali ya New Delhi.

  • Wapinzani wa serikali nchini Pakistan watangaza mpango wa pili wa kuendeleza maandamano

    Wapinzani wa serikali nchini Pakistan watangaza mpango wa pili wa kuendeleza maandamano

    Nov 14, 2019 04:00

    Chama cha Jumuiya ya Maulama wa Kiislamu (Jamiat Ulema-e-Islam) nchini Pakistan ambacho kinaipinga serikali ya sasa ya Imran Khan, Waziri Mkuu wa nchi hiyo, kimetangaza mpango wa pili katika kumuwekea mashinikizo zaidi waziri mkuu huyo ili ajiuzulu.

  • Pakistan yaitaka India ikomeshe ukandamizaji wa askari wake dhidi ya wakazi wa Kashmir

    Pakistan yaitaka India ikomeshe ukandamizaji wa askari wake dhidi ya wakazi wa Kashmir

    Nov 09, 2019 04:27

    Mkuu wa eneo la Kashmir lililo chini ya udhibiti wa Pakistan, ameitahadharisha serikali ya India kutokana na ukandamizaji wa askari wa nchi hiyo kuwalenga wakazi wa eneo la Kashmir lililo chini ya udhibiti wa New Delhi.

  • Ukosoaji wa Pakistan dhidi ya serikali ya Marekani

    Ukosoaji wa Pakistan dhidi ya serikali ya Marekani

    Nov 07, 2019 03:29

    Pakistan imeyakosoa vikali madai ya Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani kwamba, Islamabad haina uwezo wa kupambana na ugaidi na kuyataja matamshi hayo kuwa siyo ya kukubalika hata kidogo.

  • Pakistan yalaani hatua ya India ya kuligawa eneo la Kashmir katika sehemu mbili

    Pakistan yalaani hatua ya India ya kuligawa eneo la Kashmir katika sehemu mbili

    Nov 01, 2019 08:20

    Serikali ya Pakistan imelaani hatua ya India ya kuligawa eneo la Jammu na Kashmir katika sehemu mbili.

  • Rais Rouhani: Tehran na Islamabad zinataka masuala ya kieneo yatatuliwe kwa njia ya mazungumzo

    Rais Rouhani: Tehran na Islamabad zinataka masuala ya kieneo yatatuliwe kwa njia ya mazungumzo

    Oct 13, 2019 08:54

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran na Islamabad zinaamini kuwa, masuala ya kieneo yanapaswa kutatuliwa kwa njia ya mazungumzo baina ya nchi mbalimbali.

  • Onyo la kamanda wa jeshi la India kwa Pakistan

    Onyo la kamanda wa jeshi la India kwa Pakistan

    Sep 25, 2019 04:34

    Kamanda wa jeshi la India ameituhumu serikali ya Pakistan kuwa inaunga mkono ugaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS