Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Pakistan

  • Pakistan yaitaka Saudia kujiepusha na hatua yoyote itakayotishia usalama wa eneo

    Pakistan yaitaka Saudia kujiepusha na hatua yoyote itakayotishia usalama wa eneo

    Sep 23, 2019 23:24

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amesema kuwa, nchi hiyo imeitaka Saudi Arabia kuchukua tahadhari kutokana na uamuzi wowote wa haraka ambao unaweza kutishia usalama na amani ya eneo.

  • Pakistan: Wamarekani sio watu wa kuaminika

    Pakistan: Wamarekani sio watu wa kuaminika

    Sep 23, 2019 23:20

    Waziri wa Reli nchini Pakistan amesema kuwa, Wamarekani sio watu wa kuaminika kwa namna yoyote ile kwa kuwa huko nyuma pia waliihadaa Pakistan.

  • Waziri Mkuu wa Pakistan: Njia ya mashahidi wa Karbala, lazima iendelezwe

    Waziri Mkuu wa Pakistan: Njia ya mashahidi wa Karbala, lazima iendelezwe

    Sep 11, 2019 07:38

    Waziri Mkuu wa Pakistan, Imran Khan sambamba na kuashiria kumalizika kwa marasimu ya kidini ya kumi la kwanza la mwezi wa Muharram nchini Pakistan, amesema kuwa raia wa nchi hiyo hususan Waislamu wa jimbo la Kashmir, ni lazima waendeleze ujumbe wa mashahidi wa Karbala.

  • India yawazuia Waislamu wa Kashmir kumuomboleza Imam Hussein AS

    India yawazuia Waislamu wa Kashmir kumuomboleza Imam Hussein AS

    Sep 09, 2019 01:38

    India imetangaza sheria ya kutotoka nje katika baadhi ya maeneo ya Kashmir, sambamba na kuwapiga marufuku Waislamu wa madhehebu ya Shia katika eneo hilo inalolidhibiti kushiriki katika marasimu yoyote ya kidini.

  • Ayatullah Hamedani awataka Waislamu wa Kashmir waendeleze muqawama

    Ayatullah Hamedani awataka Waislamu wa Kashmir waendeleze muqawama

    Sep 08, 2019 07:48

    Mwanachuoni mashuhuri hapa nchini Iran sambamba na kusisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuwaunga mkono Waislamu wanaodhulumiwa wa eneo la Kashmir, amewataka Wakashmir waendelee kusimama kidete na kudumisha moyo wa muqawama.

  • Jumapili, 08 Septemba, 2019

    Jumapili, 08 Septemba, 2019

    Sep 07, 2019 22:05

    Leo ni Jumapili tarehe 8 Mfunguo Nne Muharram 1441 Hijria mwafaka na tarehe 8 Septemba 2019 Miladia.

  • Waziri Mkuu wa Pakistan aapa kutoa jibu kali kwa  India kuhusu Kashmir

    Waziri Mkuu wa Pakistan aapa kutoa jibu kali kwa India kuhusu Kashmir

    Sep 06, 2019 22:02

    Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan amesema serikali yake itatoa jibu kali zaidi linalowezekana katika kukabiliana na hatua za India huko Kashmir, lakini akasisitiza kuwa, nchi yake haitaki vita na India.

  • Jeshi la Pakistan: Vita vitaibuka kutokana na hatua za India huko Kashmir

    Jeshi la Pakistan: Vita vitaibuka kutokana na hatua za India huko Kashmir

    Sep 05, 2019 00:05

    Jeshi la Pakistan limetahadharisha kuwa hatua ambazo India imechukua huko Kashmir zinaweza kuchochea vita katika eneo.

  • Mgogoro wa Kashmir.. Imran Khan atahadharisha juu ya kutokea vita vya dunia vya nyuklia

    Mgogoro wa Kashmir.. Imran Khan atahadharisha juu ya kutokea vita vya dunia vya nyuklia

    Aug 31, 2019 22:13

    Waziri Mkuu wa Pakistan ameeleza wasiwasi wake kuhusu mgogoro unaoendelea kushadidi baina ya nchi hiyo na India na kutahadharisha kwamba, kuna uwezekano wa kutokea vita vipya vya dunia kwa kutumia silaha za nyuklia baina ya nchi hizo mbili.

  • Kikao cha Baraza la Usalama  kuhusu eneo la Kashmir chamalizika bila ya natija yoyote

    Kikao cha Baraza la Usalama kuhusu eneo la Kashmir chamalizika bila ya natija yoyote

    Aug 17, 2019 03:41

    Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichoitshwa kujadili uamuzi ulioibua makelele wa serikali ya India wa kubatilisha mamlaka maalumu ya utawala wa ndani eneo la Kashmir kimemalizika bila ya matunda yoyote.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS