Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Pakistan

  • Mashauriano ya Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan na Russia kuhusiana na Kashmir

    Mashauriano ya Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan na Russia kuhusiana na Kashmir

    Aug 15, 2019 22:05

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan Shah Mehmood Qureshi amefanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Russia, Sergey Lavrov kuhusiana na hali ya eneo la Kashmir linalodhibitiwa na India.

  • Serikali ya India na mbinyo wa kidini katika eneo la Kashmir

    Serikali ya India na mbinyo wa kidini katika eneo la Kashmir

    Aug 14, 2019 02:27

    Hatua ya serikali ya India ya kuweka vizuizi na kubana shughuli za kidini katika eneo la Kashmir imekabiliwa na radiamali kali ya Pakistan.

  • Pakistan yaiomba Iran isaidie utatuzi wa amani wa mgogoro wa Kashmir

    Pakistan yaiomba Iran isaidie utatuzi wa amani wa mgogoro wa Kashmir

    Aug 11, 2019 02:16

    Pakistan imetoa wito kwa jamii ya kimataifa, ikiwemo Iran, kusaidia katika kutafutia suluhisho la amani mgogoro wa Kashmir baada ya kuibuka uhasama mpya baina ya India na Pakistan kuhusu eneo hilo linalozozaniwa.

  • Waziri Mkuu wa Pakistan atahadharisha kuhusu uwezekano wa kutokea vita na India

    Waziri Mkuu wa Pakistan atahadharisha kuhusu uwezekano wa kutokea vita na India

    Aug 07, 2019 03:30

    Waziri Mkuu wa Pakistan ametahadharisha kuwa, kuna uwezekano wa kutokea vita baina ya nchi yake na India baada ya New Delhi kufuta kifungu cha katiba kinacholipa mamlaka ya utawala wa ndani jimbo linalozozaniwa na Kashmir.

  • India yatayarisha mazingira ya kulitwaa kikamilifu eneo la Kashmir

    India yatayarisha mazingira ya kulitwaa kikamilifu eneo la Kashmir

    Aug 05, 2019 21:57

    Serikali ya India imefuta sheria inayolipa hali makhsusi eneo la Kashmir linalozozaniwa baina ya nchi hiyo na Pakistan katika jitihada za kuliunganisha kikamilifu na ardhi ya India.

  • Pakistan: Tupo tayari kufanya mazungumzo na India

    Pakistan: Tupo tayari kufanya mazungumzo na India

    Jul 26, 2019 23:42

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Pakistan amesema kuwa Islamabad ipo tayari kwa ajili ya kufanya mazungumzo ya amani na India.

  • Magaidi wawaua shahidi askari 2 wa Iran katika mpaka wa Pakistan

    Magaidi wawaua shahidi askari 2 wa Iran katika mpaka wa Pakistan

    Jul 21, 2019 08:01

    Wanachama wawili wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) wameuawa shahidi katika makabiliiano na magaidi kusini mashariki mwa nchi, karibu na mpaka wa Pakistan.

  • Ijumaa, tarehe 5 Julai, 2019

    Ijumaa, tarehe 5 Julai, 2019

    Jul 04, 2019 21:48

    Leo ni Ijumaa tarehe Pili Dhulqaada 1440 Hijria, sawa na tarehe 5 Julai 2019.

  • Waziri Mkuu wa Pakistan: Umma upambane na chuki dhidi ya Uislamu

    Waziri Mkuu wa Pakistan: Umma upambane na chuki dhidi ya Uislamu

    Jun 01, 2019 06:55

    Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan ametoa mwito kwa umma wa Kiislamu kupambana na dhulma na chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu duniani.

  • Zarif akutana na Waziri Mkuu wa Pakistan mjini Islamabad

    Zarif akutana na Waziri Mkuu wa Pakistan mjini Islamabad

    May 24, 2019 07:24

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran yuko safarini nchini Pakistan, ambapo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa nchi hiyo mjini Islamabad.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS