Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Pakistan

  • Waziri Mkuu wa Pakistan kuitembelea Iran, atoa wito wa uhusiano bora

    Waziri Mkuu wa Pakistan kuitembelea Iran, atoa wito wa uhusiano bora

    Apr 18, 2019 22:33

    Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan amesema nchi yake inalipa umuhimu mkubwa suala la uhusiano wake na Iran na kuongeza kuwa analenga kuimarisha uhusiano wa nchi hizi mbili jirani katika safari yake tarajiwa mjini Tehran.

  • Serikali ya Pakistan yakiri kwamba Waislamu wa Shia wanafanyiwa dhulma na ukandamizaji

    Serikali ya Pakistan yakiri kwamba Waislamu wa Shia wanafanyiwa dhulma na ukandamizaji

    Apr 16, 2019 03:00

    Serikali ya Pakistan imetuma mawaziri wawili kwenda jimbo la Balochistan kwa ajili ya kuonyesha mshikamano na familia za wahanga wa shambulizi la kigaidi la siku ya Ijumaa iliyopita ambalo lilitekelezwa na genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) katika soko la matunda la mji wa Quetta.

  • Jumamosi, 23 Machi, 2019

    Jumamosi, 23 Machi, 2019

    Mar 22, 2019 19:57

    Leo ni Jumamosi tarehe 16 Rajab 1440 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 23 Machi 2019 Miladia.

  • Tuhuma mpya za Marekani kwa Pakistan kuhusiana na uungaji mkono ugaidi

    Tuhuma mpya za Marekani kwa Pakistan kuhusiana na uungaji mkono ugaidi

    Mar 11, 2019 09:42

    Kwa mara nyingine Kamanda Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Marekani ameituhumu serikali ya Pakistan kwamba inaunga mkono makundi ya kigaidi na kuyapa hifadhi.

  • 'Utawala wa Kizayuni wa Israel ni adui namba moja wa Pakistan'

    'Utawala wa Kizayuni wa Israel ni adui namba moja wa Pakistan'

    Mar 09, 2019 00:52

    Waziri wa Nchi wa Pakistan anayehusika na masuala ya Bunge amesema, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ni adui namba moja wa nchi hiyo.

  • Rais Arif Alvi wa Pakistan aonya juu ya uwezekano wa kutokea vita kati ya nchi yake na India

    Rais Arif Alvi wa Pakistan aonya juu ya uwezekano wa kutokea vita kati ya nchi yake na India

    Mar 06, 2019 23:23

    Rais Arif Alvi wa Pakistan ametoa onyo kali juu ya uwezekano wa kutokea vita na mapigano makali kati ya nchi yake na India.

  • Mafuriko yaua watu 45 Afghanistan na Pakistan

    Mafuriko yaua watu 45 Afghanistan na Pakistan

    Mar 05, 2019 23:16

    Kwa akali watu 45 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika nchi za Afghanistan na Pakistan.

  • Pakistan yatimua nyambizi za jeshi la India, hali ingali tete

    Pakistan yatimua nyambizi za jeshi la India, hali ingali tete

    Mar 05, 2019 10:50

    Pakistan inasema imeitimua kwa mafanikio nyambizi ya Jeshi la Majini la India ambayo ilijaribu kuingia katika mipaka yake ya baharini huku hali ikiwa bado ni tete baina ya madola hayo jirani yanayohasimiana na ambayo yana silaha za nyuklia.

  • OIC yazitaka India na Pakistan zitatue mgogoro kwa njia za amani

    OIC yazitaka India na Pakistan zitatue mgogoro kwa njia za amani

    Mar 03, 2019 04:12

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu (OIC) imepasisha azimio linalozitaka India na Pakistan zijiepushe na vitendo vinavyoweza kuendelea kuchochea taharuki baina yao, sambamba na kuupatia ufumbuzi mgogoro baina ya nchi mbili hizo jirani kwa njia za amani.

  • Pakistan yaiomba Iran ipatanishe mzozo kati yake na India

    Pakistan yaiomba Iran ipatanishe mzozo kati yake na India

    Mar 01, 2019 23:18

    Ubalozi wa Pakistan mjini Tehran umeiomba Jamhuri ya Kiislamu ya Kiislamu ya Iran itumie ushawishi wake kusaidia utatuzi wa amani wa mzozo uliozuka baina ya nchi yake na India.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS