-
OIC yasema mgogoro wa Syria unahitaji suluhisho la kisiasa
Apr 11, 2017 10:57Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiisalmu (OIC) amesema njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria ni mazungumzo na mikakati ya kisiasa.
-
Maelfu ya Wapakistan waandamana kulaani mashambulizi ya kigaidi katika maeneo ya Waislamu wa Shia
Apr 01, 2017 11:40Maelfu ya raia wa Pakistan wamefanya maandamano makubwa ya kulaani mashambulizi ya kigaidi ya hivi karibuni yaliyotokea katika eneo la Parachinar la Waislamu wa Shia nchini humo.
-
Upinzani dhidi ya kushiriki Pakistan katika muungano wa vita vya Saudia huko Yemen, waongezeka
Apr 01, 2017 03:16Wimbi la upinzani wa suala la kujiunga Pakistan katika muungano wa kijeshi wa kimaonyesho unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya watu wa Yemen bado linaendelea kuongezeka nchini Pakistan.
-
Iran yalaani shambulizi ya kigaidi karibu na Husainiya ya Imambargah
Apr 01, 2017 03:12Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulizi la kigaidi lililotokea katika eneo la Parachinar na kuua makumi ya watu waliokuwa wamekwenda kutelekeza ibada ya Swala ya Ijumaa.
-
Alkhamisi 23 Machi, 2017
Mar 22, 2017 21:56Leo ni Alkhamisi tarehe 24 Jamadithani 1438 Hijria sawa na Machi 23, 2017.
-
'Makundi ya Lashkar-e-Jhangvi na Sipah-e-Sahaba ni wasaidizi wa ISIS nchini Pakistan'
Mar 21, 2017 00:17Katibu mkuu wa Baraza la Umoja wa Waislamu katika jimbo la Sindh nchini Pakistan amesema kuwa, makundi ya Lashkar-e-Jhangvi na Sipah-e-Sahaba ni wasaidizi wakuu wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) nchini humo.
-
Rouhani: ECO itakuwa ufunguo wa maelewano ya Mashariki na Magharibi
Mar 01, 2017 03:49Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, mataifa yanayostawi kiuchumi barani Asia yataufanya uchumi wa dunia utoke Magharibi na kuelekea Mashariki na mabadiliko hayo yatapelekea bara hilo kuwa mbele katika karne ya 21.
-
Jumatatu, Januari 20, 2017
Feb 19, 2017 23:19Leo ni Jumatatu tarehe 22 Mfunguo Nane Jamadil Awwal 1438 Hijria sawa na Februari 20, 2017 Milaadia.
-
Maelfu ya Wapakistani waandamana kulaani jinai za Marekani na makundi ya kigaidi
Feb 18, 2017 12:43Maelfu ya Wapakistani wamefanya maandamano makubwa katika miji mbalimbali ya nchi hiyo kulalamikia jinai za Marekani na makundi ya kigaidi ya Jamaat al-Ahrar, Daesh, Lashgar Jahangui na Sepah Sahabah, ambayo yamekuwa yakihusika na mauaji ndani ya taifa hilo.
-
Iran yalaani mauaji ya watu 80 katika Haram ya Sufi nchini Pakistan
Feb 17, 2017 11:29Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani shambulio la kigaidi lililotokea jana Alkhamisi katika mkoa wa Sindh nchini Pakistan, ambapo makumi ya watu waliuawa na wengine wengi kujeruhiwa.