-
Shambulio la kigaidi msikitini laua makumi ya watu Pakistan
Sep 16, 2016 22:10Watu wasiopungua 23 wameuawa na makumi ya wengine wamejeruhiwa katika shambulio la kigaidi lililofanywa ndani ya msikiti katika Sala ya Ijumaa wilayani Mohmand nchini Pakistan.
-
UN yazitaka India na Pakistan ziruhusu uchunguzi Kashmir
Aug 17, 2016 23:09Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameeleza masikitiko ya umoja huo baada ya serikali za Pakistana na India kukataa kuwapa kibali maofisa wa UN kulitembelea eneo lenye mzozo la Kashmir, katika mpaka wa nchi mbili hizo.
-
Iran: Undumakuwili ndio umeupa nguvu ugaidi duniani
Aug 09, 2016 23:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani hujuma ya kigaidi yaliyofanywa dhidi ya hospitali katika mji wa Quetta nchini Pakistan na kusisitiza kuwa, usuasa za kindumakuwili ndizo zimekuza na kuzipa nguvu harakati za kigaidi katika kona mbalimbali za dunia.
-
Iran yalaani shambulio la kigaidi katika hospitali ya Quetta, Pakistan
Aug 08, 2016 10:13Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amelaani shambulio la kigaidi lililofanywa katika hospitali ya mji wa Quetta nchini Pakistan.
-
Shambulizi la bomu dhidi ya hospitali Pakistan laua 50
Aug 08, 2016 03:38Makumi ya watu wameuawa katika mlipuko wa bomu uliolenga hospitali kuu ya mji wa Quetta, kusini magharibi mwa Pakistan.
-
Maandamano ya Waislamu nchini Pakistan
Jul 23, 2016 09:17Maelfu ya wananchi wa Pakistan wameandamana katika miji mbalimbali ya nchi hiyo kupinga mauaji ya Waislamu wenzao wa madhehebu ya Shia na serikali ya nchi hiyo kushindwa kuwachukulia hatua wahusika wa mauaji hayo.
-
Zaidi ya 44 wauawa katika mapigano Kashmir inayodhibitiwa na India
Jul 19, 2016 23:23Zaidi ya watu 44 wameuawa kufikia Jumanne katika mapigano yalianza Julai 9 katika eneo la Kashmir linalodhibitiwa na India.
-
Kiongozi wa Taliban, Mullah Mansour auawa katika hujuma ya drone
May 22, 2016 11:50Kiongozi wa kundi la kigaidi la Taliban, Mullah Akhtar Mohammad Mansour ameuawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani ya Marekani katika mkoa wa Baluchistan, mpakani mwa Afghanistan na Pakistan.
-
Larijani: Ukosefu wa usalama katika Ulimwengu wa Kiislamu ni kwa maslahi ya Israel
Mar 29, 2016 23:39Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amesema ukosefu wa usalama na wimbi la mashambulio ya kigaidi katika Ulimwengu wa Kiislamu vinafanywa na wale wanaotumikia maslahi ya utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Iran yalaani hujuma za kigaidi Pakistan na Iraq
Mar 28, 2016 03:50Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma za hivi karibuni za kigaidi katika mji wa Lahore Pakistan na karibu na Baghdad mji mkuu wa Iraq.