-
Nchi za Kiislamu zalaani hujuma ya kigaidi dhidi ya hafla ya Maulidi nchini Pakistan
Oct 01, 2023 02:54Nchi za Kiislamu zimelaani vikali mashambulizi mawili ya kigaidi ambayo yamesababisha vifo vya watu wengi nchini Pakistan.
-
Rais wa Iran alaani mashambulizi pacha ya kigaidi Pakistan
Sep 30, 2023 04:46Rais Ebrahim Raisi wa Iran amelaani mashambulizi mawili ya kigaidi yaliuoua makumi ya watu katika jimbo la kusini magharibi la Balochistan nchini Pakistan.
-
Katibu Mkuu wa UN: Pakistan ni 'muathirika pacha', inahitaji na inastahiki msaada mkubwa wa jamii ya kimataifa
Sep 29, 2023 02:36Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa mwito wa kuungwa mkono Pakistan, ambayo inaendelea kujijenga upya kufuatia mafuriko makubwa ya mwaka jana, na kuitaja nchi hiyo kuwa ni "mwathirika pacha" wa "machafuko ya hali ya hewa" na mfumo "usio wa haki" wa kifedha duniani.
-
Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Pakistan atiwa nguvuni
Aug 20, 2023 11:34Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Pakistan ambaye pia ni Naibu Kiongozi wa chama cha Tehreek-e-Insaf Pakistan amekamatwa na kuwekwa kizuizini na vyombo vya usalama mjini Islamabad.
-
Syria yamtunuku Nishani ya Ushujaa rubani Mpakistani aliyepigana Vita vya Siku 6 vya Waarabu na Israel
Aug 13, 2023 14:17Syria imemtunukia Nishani ya Ushujaa ya nchi hiyo rubani mkongwe wa Jeshi la Anga la Pakistan, AbdulSattar Alvi, ambaye aliidungua ndege ya kivita ya Israel wakati wa Vita vya Siku Sita kati ya Waarabu na utawala huo haramu wa Kizayuni vilivyopiganwa mwaka 1967.
-
Imran Khan akamatwa baada ya mahakama Pakistan kumhukumu kifungo cha miaka 3 jela
Aug 06, 2023 02:28Polisi wamemkamata waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan katika mji wa mashariki wa Lahore baada ya mahakama kumhukumu kifungo cha miaka mitatu jela kwa kuuza zawadi za serikali kinyume cha sheria.
-
Viongozi wa Iran watoa mkono pole na kulaani vikali mripuko wa jana Jumapili wa nchini Pakistan
Jul 31, 2023 06:56Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wametoa mkono wa pole kwa wananchi na serikali ya Pakistan baada ya kutokea mripuko wa kigaidi kaskazini magharibi mwa Pakistan na kuua makumi ya watu na kujeruhi wengine wengi.
-
Makumi wauawa katika mripuko wa bomu nchini Pakistan; Iran yatoa mkono wa pole
Jul 31, 2023 03:10Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali shambulio la kigaidi lililotokea jana nchini Pakistan na ametoa mkono wa pole kwa wananchi na serikali ya nchi hiyo ndugu na jirani.
-
Pakistan yaanza kutekeleza mchakato wa kuitosa sarafu ya dola
Jun 15, 2023 06:34Pakistan imechukua hatua ya kwanza ya kivitendo ya kutekeleza sera yake mpya ya kuachana na sarafu ya dola katika miamala na mabadilishano yake ya bidhaa, kwa kutumia sarafu ya Yuan ya China kununua mafuta ghafi ya Russia kwa bei nafuu.
-
Imran Khan: Masaibu yangu yametokana na kuipa mgongo Marekani
Jun 12, 2023 04:37Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan, Imran Khan ameituhumu Marekani kwa kula njama iliyopelekea kuangushwa kwa serikali yake iliyochaguliwa kidemokrasia.