-
Onyo la Pakistan kwa kundi la Taliban la Afghanistan
May 31, 2023 01:19Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan ameionya serikali ya wanamgambo wa Taliban wa Afghanistan kuhusiana na shambulio lolote dhidi ya ardhi ya Pakistan.
-
Jumapili, tarehe 28 Mei, 2023
May 28, 2023 01:17Leo ni Jumapili tarehe 8 Dhulqaada 1444 Hijria inayosadifiana na tarehe 28 Mei, 2023.
-
Serikali ya Pakistan inafikria kukipiga marufuku chama cha waziri mkuu wa zamani Imran Khan
May 26, 2023 06:00Waziri wa Ulinzi wa Pakistan ametangaza kuwa serikali inafikiria kupiga marufuku shughuli za chama cha Tehreek-e-Insaf kinachoongozwa na waziri mkuu wa zamani wa nchi hiyo Imran Khan.
-
Spika wa Bunge la Pakistan: Mapambano ya Iran yamekuwa mfano wa kuigwa kwa mataifa mengine
May 11, 2023 11:17Spika wa Bunge la Taifa la Pakistan amesema mapambano ya kishujaa ya Iran mbele ya changamoto mbalimbali yamekuwa mfano wa kkuigwa kwa mataifa mengine duniani.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Taliban aelekea Pakistan kukutana na wenzake wa China na Pakistan
May 06, 2023 12:04Mawlawi Amir Khan Muttaqi, Waziri wa Mambo ya Nje wa serikali ya muda ya Taliban nchini Afghanistan, amewasili Islamabad akiongoza ujumbe maalumu kwa madhumuni ya kukutana na kufanya mazungumzo na mawaziri wenzake wa China Qin Gang na wa Pakistan Bilawal Bhutto-Zardari.
-
Kulalamikia Chama cha Tahreek-e-Insaf uhusiano wa kibiashara wa Pakistan na utawala haramu wa Israel
Apr 04, 2023 02:10Chama cha Tahreek-e-Insaf cha Pakistan kimelalamikia kuweko uhusiano wa biashara ya bidhaa za chakula baina ya nchi hiyo na utawala haramu wa Israel na kimeitaka Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya nchi hiyo kutoa maelezo kuhusiana na suala hilo.
-
Alkhamisi, tarehe 23 Machi, 2023
Mar 23, 2023 02:12Leo ni Alkhamisi tarehe Mosi Ramadhani 1444 Hijria sawa na 23 Machi 2023.
-
Imran Khan adai lengo la serikali ya Pakistan si kumkamata, ni kumteka nyara na kumuua
Mar 15, 2023 07:29Waziri Mkuun wa zamani wa Pakistan Imran Khan amesema katika ujumbe wa twitter alioandika mapema leo kuwa jaribio la polisi ya nchi hiyo la kumkamata ni "maonyesho tu" lakini nia yao hasa ni "kumteka nyara na kumuua".
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan: Uislamu ni mlindaji mkubwa zaidi wa haki za wanawake
Mar 09, 2023 07:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amesema, Uislamu ni mlindaji mkubwa zaidi wa haki za wanawake.
-
Serikali ya Pakistan yapiga marufuku TV kutangaza hotuba za Imran Khan
Mar 06, 2023 10:36Mamlaka ya Udhibiti wa Vyombo vya Habari vya Kielektroniki vya Pakistan (PEMRA) imezipiga marufuku chaneli za televisheni kurusha hewani hotuba za aliyekuwa waziri mkuu wa nchi hiyo Imran Khan. Hii ni baada ya kumtuhumu waziri mkuu huyo wa zamani kwamba anazishambulia taasisi za serikali na kuchochea chuki ndani ya nchi.