-
HAMAS: Njama za utawala wa Kizayuni za kubadilisha utambulisho wa Quds zitashindwa tu
Mar 03, 2022 04:01Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, njama za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel za kutaka kuubadilisha utambulisho wa Quds tukufu unayoikalia kwa mabavu zitashindwa tu.
-
Jihadul-Islami yasisitiza udharura wa umoja wa Waislamu katika kuunga mkono Wapalestina
Mar 02, 2022 20:45Kiongozi mwandamizi wa harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesema umoja wa Waislamu ni siri ya ushindi wa Wapalestina na Waislamu kwa ujumla na kuongeza kuwa ukombozi wa Quds (Jerusalem) na ardhi zote za Palestina ni mihimili ya mapambano ya Wapalestina dhidi ya utawala ghasibu wa Israel.
-
Ziyad al-Nakhala: Muqwawama umeimarika zaidi kuliko wakati wowote ule
Mar 01, 2022 04:43Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesema kuwa, muqawama umepata nguvu na kuuimarika kuliko wakati wowote ule huuu adui akidhoofika kuliko kipindi chochote.
-
Chama cha Fat'h: Marekani inashirikiana na Israel kuwakandamiza Wapalestina
Feb 25, 2022 03:25Katibu wa Kamati Kuu ya chama cha Fat'h cha Palestina amesema kuwa, eneo la Sheikh Jarrah na maeneo mengine ya Quds yanayokaliwa kwa mabavu, yanaendelea kushuhudia vitendo vya kigaidi vya utawala wa Kizayuni wa Israel na kwamba jinai hizo zinafanyika kwa uungaji mkono kamili wa Marekani.
-
Jumanne tarehe 22 Februari 2021
Feb 21, 2022 23:10Leo ni Jumanne tarehe 20 Rajab 1443 Hijria sawa na Februari 22 mwaka 2022.
-
Askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wauvunjia heshima msikiti wa Nabii Ibrahim (as)
Feb 21, 2022 04:09Duru za habari zimeripoti kuwa, kundi kubwa la askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel limeuvamia na kuuvunjia heshima msikiti wa Nabii Ibrahim (as) katika mji wa al Khalil, Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Iran yaitaka dunia ikomeshe jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
Feb 20, 2022 04:33Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa kuchukua hatua za haraka za kuuzuia utawala wa Kizayuni wa Israel kuendelea kufanya jinai na uhalifu dhidi ya Wapalestina.
-
Wazayuni wawaponda kwa farasi Wapalestina, HAMAS yataka maandamano makubwa
Feb 19, 2022 23:23Waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari wameripoti kuwa, wanajeshi makatili wa Israel wamewakanyaga kwa farasi Wapalestina waliokuwa wanalalamikia jinai za utawala wa Kizayuni mashariki mwa Baitul Muqaddas inayokaliwa kwa mabavu na Wazayuni utawala wa Kizayuni.
-
Makundi ya muqawama yailaani Australia kwa kuiita HAMAS kundi la kigaidi
Feb 18, 2022 23:26Makundi ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina yamekosoa vikali kitendo cha Australia cha kuitambua harakati ya muqawama ya HAMAS kuwa ni kundi la kigaidi.
-
Syria: Hatua ya Israel ya kuwafukuza Wapalestina Sheikh Jarrah ni uhalifu wa kivita
Feb 15, 2022 09:41Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Syria imetoa wito wa kukomeshwa hatua za utawala wa Kizayuni wa Israel za kuharibu nyumba za Wapalestina na kuwafukuza katika ardhi na makazi yao.